Kwanini wakurugenzi wa makampuni makubwa ni Wahindi?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Mkurugenzi mtendaji wa Google ni Mhindi

2. Mkurugenzi mtendaji wa Microsoft ni Mhindi

3. Mkurugenzi mtendaji wa YouTube ni Mhindi

4. Mkurugenzi mtendaji wa Adobe ni Mhindi

5. Mkurugenzi mtendaji wa World Bank Group ni Mhindi

6. Mkurugenzi mtendaji wa IBM ni Mhindi

7. Mkurugenzi mtendaji wa Albertsons ni Mhindi

8. Mkurugenzi mtendaji wa NetApp ni Mhindi

9. Mkurugenzi mtendaji wa Palo Alto Networks ni Mhindi

10. Mkurugenzi mtendaji wa Arista Networks ni Mhindi

11. Mkurugenzi mtendaji wa Novartis ni Mhindi

12. Mkurugenzi mtendaji wa Starbucks ni Mhindi

13. Mkurugenzi mtendaji wa Micron Technology ni Mhindi

14. Mkurugenzi mtendaji wa Honeywell ni Mhindi

15. Mkurugenzi mtendaji wa Flex ni Mhindi

16. Mkurugenzi mtendaji wa Wayfair ni Mhindi

17. Mkurugenzi mtendaji wa Chanel ni Mhindi

18. Mkurugenzi mtendaji wa OnlyFans ni Mhindi

19. Mkurugenzi mtendaji wa Motorola Mobility ni Mhindi

20. Mkurugenzi mtendaji wa Cognizant ni Mhindi

21. Mkurugenzi mtendaji wa Vimeo ni Mhindi

Hawa wahindi wana nini ?
 
Njoo bongo sasaa
Sisi watu weusi tunaiba sana, kuanzia kwenye faida mpaka mtaji; na hatimaye biashara au kampuni inakufa.
Ndio maana matajiri wengi duniani, upande wa menejimenti wana waachia wahindi.

Nashauri pia hata huku kwetu wale top 50's wawatumie hawa wahindi; faida yake, utajikuta unatumia nguvu kidogo tu, kutimiza malengo ya kampuni.​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom