Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Akili ndogo ni ndogo wala haiwez kubadilika na kuwa akili kubwa Elewa namna akili ndogo inavyobishana na...
1 Reactions
4 Replies
886 Views
Wala haihitaji PhD, degree, ama diploma kujua hili. Amini usiamini, siku zote baba au mama, ama mlezi akiwa katili kwenye nyumba yake, na kutokuwapa watoto uhuru wa kujieleza au kutokuwapa watoto...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati tarehe 23 November ikisubiriwa kuanza kuingiziwa mishahara kwenye akaunti za bank, tayari payroll zilishatumwa siku ya jana. Nyongeza ya mishahara iliyokuwa ikitamkwa kwa sauti kubwa...
22 Reactions
129 Replies
19K Views
Nimekunywa aina hii ya soda toka moshi na moja toka dar es salam..hakika coca ya moshi ndio the best..coca ya dar maji maji maji.sana masukal kibao gesi hakuna..rekebishen hilo
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Takukuru kuchunguza mila za kichaga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza kuchunguza utaratibu wa familia za kabila la Kichaga kutumia majani maarufu kama ‘sale’ kufunika au...
5 Reactions
67 Replies
12K Views
Wakuu nawasalimu, Nipo katika foleni eneo la Kiwanda cha Sigara-Pugu Road/Nyerere Road naelekea maeneo ya Banana, kuna foleni kubwa sana hapa kiasi tumesimama tu kwa zaidi ya nusu saa. Sababu ya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu .. Mimi ni mwanafunzi niko third year Mechanical engineering Chuo fulani hivi hapa Tz. Naomba ushauri kwa wadau wazoefu wa game za nje. Ni hivi plann zangu nkimaliza chuo nataka niende Nje...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Maiti ya kijana Kassim Said Mboya mkazi wa jijini Dar es salaam imekutwa na kete 65 zinazodhaniwa kuwa ni za madawa ya kulevya, maiti ya kijana huyo ilikutwa kwenye basi la kampuni ya Taqwa eneo...
4 Reactions
106 Replies
36K Views
Tunapiga Hatua Kupambana na VVU/UKIMWI Tanzania. Muhimu: Tusimuache mtu yoyote Nyuma! Ripoti ya Utafiti wa Maambukizi ya VVU/UKIMWI uliofanywa na Taasisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) ya 2016/17...
1 Reactions
1 Replies
761 Views
Habari za Jumamosi wanajamvi, Tafadhali mwenye ufahamu wa masuala ya usalama barabarani naomba anieleweshe kuhusiana na hili. Alfajiri ya leo nikiwa namsindikiza ndugu yangu stand kuu ya mabasi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kampuni ya glasgow onternation gt ya dubai imekubali kuanzisha kampuni mpya hapa tanzania itakayoitwa tanzania airways,.itakayokuwa ikifanya safari zake mwanza kigoma mtwara na kwingineko safari...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kuhusu yanayoendelea nchin msishangae sana wazee Mzee ashasema polisi ukikutana na jambaz muwashe kabla hajakuwasaha Na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni wazi kwamba Rais aliyepo pumzi imekata katika kufanya vitu vya maana,imebaki kutia watu hofu.maigizo ya bandarini yasiyoisha yaani amekuwa kama movie star wa movies za kivita ambaye maadui kama...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Kihistoria taasisi ya urais Tanzania inaheshimika sana. Ukiangalia utawala wa Nyerere, Mwinyi kidogo pamoja na kwamba aliichezea sana taasisi lakini Mkapa alirudisha heshima. Ukweli JK ameifanya...
30 Reactions
111 Replies
12K Views
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limewaua majambazi watano katika eneo la Kware kata ya Ruaha Mbuyuni wilayani Kilolo waliokuwa katika maandalizi ya kuvamia na kupora katika moja ya maeneo ya...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Hii ni documentary ya siku 100 za kwanza alizoingia White House. Obama alikuta nchi iko kwenye mdidimio wa uchumi. Ukiangalia hatua alizochukua na tubavyofanya sisi hapa kwa kweli hata miaka 1000...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
TAMBA KATIKA KUTUMBUA: Wewe Makengeza, huna akili. Wizara yako ya Mama na Mwana na Babu na Bibi na nani zaidi sijui haina akili pia. Eti, jitambue, Jitumbue. Hapana. Hata kidogo. No. La hasha...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Nawakumbusha ndugu zangu wapinzani kwamba watanzania ambao mmetumia muda wenu mwingi kuwatetea hawaoneshi kutambua kazi na sacrifice mnazofanya. Kwamfano mnawatetea watumishi waboreshewe maslahi...
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Habari wanajamvi!!!! Nina rafiki yangu anataka kuchukua likizo bila malipo,ni mwajiriwa serikalini,idara ya elimu. Je,ni taratibu zipi afuate ili kupata hiyo likizo ya bila malipo? Ameulizia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu, natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…