Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza nilifurahishwa sana na uamuzi wa kujenga Hosteli kwa haraka kwani hitaji lipo na ni kubwa tu, uamuzi ukafanyika, hatua zikachukuliwa na Hosteli kujengwa na kukamilika kwa wakati na sasa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Naomba nianze kwa kudeclare interest kuwa hii sio Mada ya kukashfu dini. Mi napenda kufikisha malalamiko kwa wahusika pitia JF. Mwanza mtaa wa Lumumba imezuka hii tabia ya kufunga barabara muda...
47 Reactions
428 Replies
54K Views
Jana nilipoondoka nyumbani asubuhi niliacha wampigiesimu mtu anayetuletea maji huku mbezi luis. Niliporudi jioni nilishangaa kukutaboza la maji la jeshi na dereva wake askari wa jeshi akiwa na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Inasikitisha sana kwa kweli , tazama video
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Maafisa kumi na sita kutoka serikali ya Senegal wako nchini kwa ziara ya mafunzo ya namna ya uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza kutekeleza mradi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakazi wawili wa Dar es Salaam wamekamatwa eneo la Kilambo mkoani Mtwara lililopo mpakani na nchi ya Msumbiji wakiwa na pakiti zenye uzito wa kilo 64 za dawa za kulevya aina ya heroin...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Utawala wa ukoo wa Gala Galauka chini ya Mtukufu ADUMBA umeinajisi ardhi ya Mbambadu na kwa jinsi hiyo yeye ndiye yeye, ana uwezo wa kufanya maamuzi ya kumpendelea yeye binafi hata kama kwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mimi sikumoja kibaka alifungua dirisha langu nika mkata mkono kiganja kikawa kinaninginiaa basi hadi Leo roho inauma japo alikua mwizi
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau! Nimehudhuria matukio kadhaa ya kijamii; nimegundua tabia mbaya sana inaikumba Jamii yetu juu ya wijio huu Wa sayansi na teknolojia (matumizi mabovu ya simu za kamera) Hili siyo RAIA...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeamua kulieleza hili kwa masiktiko makubwa Sana kuhusiana na bank hii upande wa kitengo cha huduma kwa mteja. Nitaeleza kwa kifupi sikitiko langu. Siku za nyuma nilifanya muamala Katika bank...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Usiku wa wakuamkia leo vibaka wamevamia nyumbani kwangu na kuiba simu na Tv na vitu vingine ila simu IMEI namba yake ninayo, je naweza kuwapata wezi wangu ila mimi sipo alikuwepo mwanamke na...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
VIJANA WATATU MTANZANIA, MKENYA NA MRWANDA WALIKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA HUKO CHINA. KAMA TUJUAVYO SHERIA ZA CHINA UKIKAMATWA NA HIZO BIDHAA BASI WEWE NI MAREHEMU (UNAUWAWA). BAADA YA JAMAA...
15 Reactions
45 Replies
8K Views
Leo mamlaka ya hali ya hewa ilitangaza kutakuwa na upepo mwingi. Na naona kama hapa Kigamboni, upepo ni mwingi sana. Malalamiko yangu,ni kuhusu Dish LA Azam TV ambalo limekuwa likisababisha Picha...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Mwezi uliopita nilijiunga na kifururushi cha Cheka kupiga mitandao yote cha mwezi 1 sh 15000 lkn Kila nikawa nikipiga cm naambiwa salio kwenye CM yk halitoshi.Nikapiga customer care zaidi ya Mara...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf?Leo kupitia clouds fm radio kipindi cha kuperuzi magazeti nimesikia habari ya walimu pamoja na familia zao kujikuta wamelala nje wengine kunyolewa nywele kichwani wengine...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarin za saa hizi wakuu Nimekuja hapa nipate ushaur wenu na mawazo pia. Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa katika sekta binafsi kampuni flani ya wahindi ambayo ni kubwa hapa Tanzania na nje pia...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hawa jamaa wa UBER wapo vizuri sana kwa kujali muda, bei na huduma nzuri kwa mteja. Imagine nimewapigia waje kunichukua Bunju kwenda Julius Nyerere International Airport nimelipa 30,000/= Tsh...
17 Reactions
124 Replies
20K Views
Ndugu wana jukwaa nawaombeni msaada wa kimawazo kuhusu hii bomoa bomoa kupisha reli,nyumba yetu ya urithi ipo ilala bungoni mwishoni kabisa karibu na reli ya kati inapopita,nyumba yetu...
2 Reactions
75 Replies
6K Views
Wadau TFDA kwa kushirikiana na TRA wamekifunga kiwanda cha kuzalisha pombe kali cha (TDT) kilichopo eneo la Kwa Alfonce Moshi pamoja na kuwaweka mahabusu watendaji watatu wa kiwanda hicho...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
wanafunzi wa vyuo vingi Leo wamepelekwa kwenye mkutano wa ccm kupewa kadi za ccm,imebidi baadhi ya vyuo masomo yahairishwe mfano hiki Chuo cha DECA ambae mkuu wake ni kada mtiifu wa ccm ndo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…