Said Selemani, Mkazi wa Kebasa, Halmashauri ya Wilaya ya Mji Tarime, mkoani Mara, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kulawiti mtoto wa miaka minne na kumsababishia maumivu makali.
CRDB hamjaona siku ya kufanya matengenezo isipokuwa leo sikukuu .
Unaenda sehemu unajiaminisha kuwa una pesa unachukua bidhaa na kuhudumiwa kumbe simbanking mfumo hau-operate.
Customer service...
Haya jamani Vodacom wamekataa ushushaji huo lakini taarifa ya kutoa maoni hii hapa kwenye link ya tcra.
https://www.tcra.go.tz/images/headlines/MkutanoGharamaZaMainiglianoSimu2017.pdf
Gazeti la Uwazi la Global Publishers ladai...
MAOFISA SERIKALINI TISHIO KWA UTAJIRI NCHINI..
WAANIKWA..
Hiki kichwa cha habari kimewapa kizunguzungu raia, hasa ukichukulia mishahara na posho za...
Habari wapendwa!
Leo nataka tujuzane sayansi nyepesi ambayo baadhi inaweza kukusaidia na kujitathimini mwenyewe!!!
Katika sayansi hii nyepesi nitawajuza sehemu za mwili za nje zinavyoshabihiana na...
Habar wanabodi?
Hakika mwaka 2017,kwangu unaelekea kuisha vibaya baada ya siku takribani tano sasa tangu bibi mzaa mama atutoke baada ya kuugua kwa mwaka mmoja na majuma manne!
Nikiwa kikazi...
Nimeangalia taarifa ya ITV Leo walifanya coverage ya upande mmoja. Walitoa matukio ya ibada yaliyomsifu na kumbeba Magufuli tu bila kutoa ya upande wa pili.
Mfano wa taarifa ya ibada Zanzibar...
Nina jamaa yangu niliemaliza nae chuo 2010 chuo flani sipendi kukitaja, tulipotezana muda mrefu hivi juzi juzi tumeunganishwa na group ls WhatsApp.
Sasa Leo naomba kuonana na mimi nimemfuata...
Habari wakuu,
Naomba wasaidizi wa IGP waambiwe kuwa siku hizi police wake wa Morogoro wameanzisha utaratibu mpya, baa hazifungwi tena saa sita.
Wanachofanya ni kupita na kuomba bia wakishapewa...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani imezuia watu wasiokuwa wanafunzi na wafanyakazi wa chuo hicho kutumia Viwanja vyake kufanyia mazoezi,
Kumekuwa na idadi kubwa ya watu wanaoishi...
Huwa natamani kujua kama waliosoma hii shule ya kilimo ya kilosa (kizunguzi) kama huwa wapo humu angalau tukumbushane ya enzi hizo, jinsi tulivyokuwa tunalima miraba mpaka basi, na graduation...
Hapo vip!!
Jamani usiku huu nimeota ndoto moja ambayo imenitisha sana na mara baada ya kuamka nimejiskia vibaya sana.
Nimeota gafla nipo sehemu kuna viti flani hivi lakini imetengenezwa kwa...
Hawa jamaa hakika nawachukia sana,mimi ni kati ya wateja niliekuwa natumia mtandao huo wa tigo.kifupi sijawahi kukopa salio wala kuwa na dhamira hiyo.lakini mara kadhaa kila niwekapo salio la...
Wabunge wa DRC wote kwa pamoja wamelaani kitendo cha kuchomwa kwa nyumba ya Rais Joseph Kabila. Wasema kitendo hicho ni uhalifu na sio njia sahihi ya kushinikiza jambo
Taarifa ya kushambuliwa kwa...
Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .