Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika siku za karibuni barabara hii imeonyesha wazi kuwa imezidiwa na magari kiasi cha kusababisha foleni ndefu ya magari. Barabara hii ilikuwa kiungo kizuri kwa watumiaji wanaotokea Ubungo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu nizaliwe ndio naona na kusikia kuwa uko Tabora mjini kuanzia Saa nne askari wapo kufunga bar zote na kumbi za music Kweli sikuu Kama hii watu wanafurahi unawambia wakalale baada ya...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanawake Dar walizwa mamilioni na wazungu kupitia Facebook AHADI ya zawadi kubwa ikiwemo fedha na kutekwa kimapenzi kwa njia ya mtandao, kumewaliza mamia ya wanawake wa Jiji la Dar es Salaam...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Za leo wakuu. Kichwa cha habari kama kinavyojieleza... Cheti nilipewa mwaka huu mwezi wa 2 ila kwa usumbufu sana baada ya kujaza fom ilikua mwaka jana mwanzoni. Ila baada ya kukipitia nimekuta...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
AHADI ya zawadi kubwa ikiwemo fedha na kutekwa kimapenzi kwa njia ya mtandao, kumewaliza mamia ya wanawake wa Jiji la Dar es Salaam. Watu hao wameingia katika wimbi la kutapeliwa mamilioni ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kampuni ya nchini Sweden iliyotaka kujenga mtambo mkubwa zaidi Afrika Mashariki wa kufua umeme kwa kutumia upepo huko Malindi, Kenya, kwa gharama ya shilingi za kitanzania 253 billioni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijui ni kweli hili Neno AMBULANCE huandikwa kinyume mbele ya gari la wagonjwa ili dereva wa gari la mbele aweze kulisoma vizuri kupitia kioo cha gari lake. Swahili Times on Twitter
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Members natumaini mu salama ktk wakati huu wa kubadili miaka, Hoja yangu kuu hapa ni namna gani watu hasa madereva wanavyoendesha vyombo vyao barabarani hasa kwa DAR, ikiwemo wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kufahamu ubora wake, ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare zake. Pia ili nipate iliyo bora niandae budget ya shilingi ngapi? Ni hayo tu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ya sikukuu wakuu. Kwa wapenda burudani na yale mambo yetu kiwanja kikali sasa ni govornors kinondoni. Aisee Govornors kwa watoto wazuri sio mchezo. Kwa sasa kiwanja kikali na kinachovutia...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Napenda kutoa mrejesho wa previous post ya my X nawashakuru kwa wale wote walionisaidia kupata details nilizokuwa nazitafuta shukran na mbarikiwe.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini? Hawa jamaa wa halotel wanachofanya si kizuri. Leo mchana nilijiunga kifurushi cha mitandao yote cha 499 na cha MB 110 jumla ni sh 1000. Sasa kwa bahati mbaya nilijiunga kifurushi cha...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wadau wa jf.naomba kupata msaada kwa mwenye information ya nchi ya Cuba.juu ya maisha kule,vyakula,living expenses,basic needs general.ahsanteni
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf!Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.Kama title inavyojieleza hapo juu,ningependa kupata ufafanuzi au data kuhusu nchi hiyo ya UTURUKI kuanzia MAISHA,ELIMU,CHAKULA,na maswala...
2 Reactions
46 Replies
22K Views
Huyu jamaa miaka ya nyuma alijipatia umaarufu kupitia kipindi cha Nani ni Nani kilichokuwa kinarushwa na Channel Ten. Ni muda umepita sijamsikia katika media yoyote ile, yuko wapi mtangazaji huyu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jaman katika hili eneo niliokuwepo nasikia kuna jechi la wanamaji lakini katika pitapita zangu pwani yote ya bahari ya hindi, pamoja na kuzifahamu fukwe zote kijografia sijawahi kuona hata siku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unakuta mdada amevaa vizuri tu,lakini kichwani nywele hadi zinamzidi.halafu kibaya zaidi kama uko Naye faragha hadi asubuhi.... Akitaka kwenda kuoga unaweza muuliza hivi ni wewe au...
7 Reactions
119 Replies
9K Views
  • Closed
Hali ilivyokuwa Christmas maeneo ya kiroyera, darajani, na bk club
1 Reactions
214 Replies
25K Views
Serikali imesema suala la chaneli za nyumbani kuoneshwa bure baada ya muda wa kulipia huduma za ving'amuzi kumalizika sio hiari bali ni wajibu wa kisheria kwa wamiliki wa Televisheni kuhakikisha...
4 Reactions
31 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…