Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya Mamlaka kuelekea mwaka wa fedha 2026/2027...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli. Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa. Rais Samia ulipoingia ulitaka...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Zaidi ya watoto 250 wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi wanatarajiwa kupatiwa matibabu bure katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kutokana na fedha...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Yaani kila nikikumbuka Ndecha akisema Manati yalitumika najikuta naangua Kicheko tu.
3 Reactions
0 Replies
86 Views
"Kwa kilichotokea kama tungenyamaza hali ingekuwa mbaya zaidi" akairudia tena... "Kwa kilichotokea kama tungenyamaza hali ingekuwa mbaya zaidi" hitimishoni akairudia tena... "Kwa kilichotokea...
9 Reactions
16 Replies
407 Views
Kuamka saa 9 usiku (3 a.m.) si tatizo. Ni mabaki ya mfumo wa kale wa usingizi uliowahi kuwa wa kawaida kwa binadamu. Kabla ya wazo la kisasa la kulala saa nane mfululizo, usiku wa binadamu...
4 Reactions
4 Replies
246 Views
Eleza kinagaubaga faida za makanisa na misikiti kwa mtu mmoja mmoja,Taifa na Africa kwa ujumla.
2 Reactions
9 Replies
161 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya? Katika ule mlima mrefu, aliopanda Yesu na wanafunzi wake kuomba, kwa nini atokewe na Musa na Eliya na siyo manabii wengine...
3 Reactions
1 Replies
304 Views
Heshima Mbele, Nimekuwa nikifuatilia makala za Gazeti la Mwananchi kwa takribani wiki mbili katika internet na sioni makala za kasri mwanazuoni Mtaalam wa Lugha na Mwanadishi Mchambuzi Boniphace...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Wanafunzi vijana kutoka kote Cape Town, nchini Afrika Kusini, walileta nguvu na shauku kubwa katika sherehe ya utamaduni wa Kichina siku ya Jumamosi, wakati Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu...
0 Reactions
3 Replies
158 Views
Hivi ushawahi kujiuliza kuhusu huu mfumo wa kwamba....Kwanza tunahitaji pesa ili kwenda chuo...kisha tunahitaji chuo ili kupata kazi.....kisha tuna hitaji kazi kwaajili ya kupata pesa. Pesa β†’...
2 Reactions
0 Replies
139 Views
Mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta. Mamia ya magari yamepanga foleni katika vituo vichache vya mafuta vinavyofanya kazi, huku madereva wakisubiri chini ya jua...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Nani alikuwa anaogopa???😁😁😁
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa hii baada kutolewa kwa ripoti ya Tume ya Jaji Chande.
1 Reactions
9 Replies
231 Views
Google imerekodi kila safari yako ya kwenda hospitali mwaka huu, na hata mizunguko yako ya usiku wa manane. Simu yako inatuma taarifa (updates) zako kila baada ya sekunde 96. Simu za Android...
6 Reactions
11 Replies
431 Views
Hosea 4:11 Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu. Katika kifungu hichi cha bibilia, Mungu ana onya kuhusu uzinzi, kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi kwako kunaweza...
3 Reactions
14 Replies
393 Views
Mnamo Aprili 2, 2015, mwendo wa saa 11:30 alajiri, Chuo Kikuu cha Garissa kilichoko Garissa, Kenya, kilikumbwa na ugaidi pale watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la...
2 Reactions
3 Replies
341 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…