Precision Air wawajibike kwa kuwachelewesha abiria 'airport' bila maelezo yanayoeleweka, "tumekaa zaidi ya masaa matatu"
Abiria ambao tulikuwa na tiketi za kusafiri na ndege ya Precision Air...
Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi (Mb.), aliyoiwasilisha Bungeni kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2026/27 aliweka wazi kuhusu hali...
Habari wana JF,
Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote...
Kama mtu ambaye si raia wa Afrika Kusini, nimewahi kuwashutumu Waafrika Kusini kila mara kwenye harakati zao za kuwaondoa wageni lakini sasa nimekua kifikra na kuelewa kwa nini si vibaya kwao...
Usalama wa Taifa ni nyanja pana sana. Suala la ulinzi wa pesa za nchi na wananchi linapaswa kuwa sehemu ya mkakati wa Usalama wa Taifa.
Watanzania kwa ujumla wao kila siku hupoteza mabilioni ya...
Kafulila anaongea juu ya daraja ka Dar na Zanzibar, kama mradi wa PPP. Hivi kuna mtu mwenye akili anaeamini wazo hili?
Ukitafakari, kimsingi daraja hili linatakiwa lirudishe fadha kupitia raod...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu wakati akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amesema bungeni ni kungumu kutokana na idadi ndogo zaidi ya wabunge wa...
Habari wakuu
Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa.
Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata...
Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana?
Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira?
Tuboreshe nchi yetu...
Dogo alipewa smartphone na dada wa rafiki yake ambaye ni mkubwa tu kaolewa na anafamilia kubwa.
Sasa simu ya rafiki yake ilipoharibika ANAOMBWA hii aliyopewa kila muda na rafiki yake kama...
Sikio ni sikio tuu, kamwe haliwezi kuzidi kichwa(sikio la binadamu) kwakuwa hilo sikio limebebwa na hicho kichwa..!
Mamba na maguvu na ubabe wake wote ni akiwa ndani ya maji... Nje ya maji hana...
Mwaka Fulani awamu ya tano, nilikua geita, yes geita wanapaita gold city, au g town, kama kawaida yetu mapopo, hatulali mapema kiwanja kwa sana, Sasa mwenyeji wangu mmoja, nikimuuliza wapi pa...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amesema imemgharimu milioni 30 za Kitanzania kushinda ubunge katika jimbo hilo
Kwanza kabisa mazingira ya kisiasa yamebadilika sana ukifanya...
Wenyeji wa Njombe Mjini, nakuja Njombe tarehe 30/04/2026 nahitaji connection ya Lodge nzuri au Hotel ya kawaida maana naona hiyo tarehe bila kufanya booking mapema sitapata Lodge au hotel hapo...
Hivi kati ya our ancestors ambao, walifanywa watumwa na wakauawa wakipinga utumwa na ukoloni kwa miaka na miaka
Na yesu, aliyeuawa msalabani ndani ya jioni moja tu
Nani aliteseka zaidi kwa ajili...
Vijana wanatumia pesa nyingi huko bila mafanikio. Leo nimeamkia msiba hapa jirani nnapopanga.
Kijana wa miaka 30 ajitia kitanzi kisa aviator. Naskia alikopa mil 3 akacheza yote aviator mhindi...
Huu uzi nimeandika nikiwa kwenye dala dala,kwahiyo kwa wale ambao mnasema ni vigumu kuona mtu akifungua JF akiwa public,basi mimi sio kwamba nafungua tu bali hata kuandika uzi naandika pia.
Wazo...
Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna...