Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,748
Vijana wanatumia pesa nyingi huko bila mafanikio. Leo nimeamkia msiba hapa jirani nnapopanga.
Kijana wa miaka 30 ajitia kitanzi kisa aviator. Naskia alikopa mil 3 akacheza yote aviator mhindi kala yote.
Na kitu kimechangia kujiua ni stress. Sasa hivi mwamba hatupo naye kweli kamari hatari. Bora hata angefungua hata mgahawa.
Kweli tamaa mbaya.