Baadhi ya wazazi katika halmashauri ya mji wa wa Mbinga mkoani Ruvuma wameshindwa kulielewa agizo la Rais Dkt John Magufuli la kufuta michango katika shule za msingi na sekondari na kuvamia shule...
Leo nimekaa na kuwaza kidogo kwa sababu katika pita pita yangu nimekutana na mfanyakazi mmoja wa ngazi ya juu ambaye anasema akiitwa fisadi ni kama "promotion" na hivyo kuandikwa magazetini ni...
Wakala alikosea kutuma ela akatuma kwa jamaa angu. Jamaa fasta ile ela akatuma kwangu bila hata kuniuliza
Namimi line yangu ilikuwa nadeni ile ela imeingia jama anambia nitole hiyo ela...
Watanzania wengi tunakosa uhuru wa habari kutokana na gharama kubwa ya kulipia vingamuzi tangu ujio wa digitali. Tunavinunua kwa ela nyingi, lakini pia vituo vyetu vya television vinalipa kodi apa...
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Meru mkoani Arusha, imesema ni marufuku wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kwa wasichana kuvaa sketi fupi na wavulana kunyoa...
Tangu serikali hii imeingia madarakani haijawahi tokea watumishi wa umma wakafanya Kazi kwa uhuru hata siku moja tangu mh. huyu aunde serikali yake utadhan aliapa kupambana na watumishi wa umma...
RUVUMA: Mkuu wa Mkoa Christina Mndeme ameagiza kukamatwa kwa meneja wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) mako makuu kanda ya Songea, Amos Mtafya pamoja na wafanyakazi wengine 6 kwa...
Hii ni story ya kweli kabisa iliyotokea mwaka 2009 nilipokuwa Darasa la Sita.
Mwaka huo nilikuwa naishi na mama mdogo eneo moja hivi linaitwa ''uwanja wa siasa'' ; watu wanaoishi Kyela...
Habari wapendwa!
Kila mtu anamalengo katika utaftaji wake!
Maisha wakati Fulani huwa kama fasheni, watu wamekaririshwa style ya kuishi, Mtu akishapata kujenga nyumba yake nzuri na kununua gari...
Kama kuna kosa lolote tulilifanya kwenu nyie wamiliki na management ya UDART tunaomba mtusamehe,tunahitaji usafiri uwe kwa wakati tunakaa kituoni muda mrefu kusubiri magari yenu ya thamani ,huku...
MFANYABIASHARA Boniface Mbilinyi (32) ambaye hivi karibuni alikamatwa na jeshi la polisi akitaka kusafirisha kiasi kikubwa cha Dola za Marekani kwenda nje ya nchi kinyume na utaratibu...
Yaani nyie SHILAWADU na Kampuni ya GLOBAL publishers badala ya kupongeza hatua ya Rais wa JMT Dr. Magufuli kujitolea ule msaada wa Tsh 15,000,000/ kwa kumpa Msanii Wastara na pia muweze...
ZAIDI mifuko 250 ya mbolea aina ya Urea na DAP yenye ruzuku ya serikali, imekamatwa katika Kijiji cha Ilulu wilayani Ileje mkoani Songwe ikiwa inatoroshwa kwa njia za panya kupelekwa nchini Malawi...
Serikali imewaonya Wakala wa Majengo nchini (TBA) kutokana na kutumia gharama kubwa zisizolingana na thamani ya majengo huku wakichelewesha kukamilisha ujenzi kwa wakati.
Onyo hilo lilitolewa na...
MIMI NAUNGA MKONO KWA ASILIMIA 100% KAULI YA MUHESHIMIWA RAIS KUWA KUSIWE NA MICHANGO KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI ZA UMMA.
Hata hivyo Rais ametoa hiyo kauli kama Management hivyo nafikiri...
Sisi wananchi wa wilaya mpya ya Ubungo na wapenda Amani tunamuomba IGP Sirro, Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dsm (P. Makonda) pamoja na kamanda wa mkoa wa Dsm kufuatilia na...
Kwa wale waliofika Arusha siku za karibuni watakubaliana na mimi kuwa traffic lights mpya tangia zimewekwa hawajapatia settings
Hizo taa za barabarani zinawaka muda mfupi sana yaani sekunde 15...
Huyu jamaa watamdungua siku moja yani haogopi kwenda na vikosi vya jeshi kuripoti yanayojiri. Najua wana habari wanakinga na huruhusiwi kuwadungua ila eneo analoripoti na aina ya waasi waliopo...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ngara Mr Aidan Bahama
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ngara aliwaomba wadau mbalimbali kuchangia Elimu alipokuwa anazungumza na wakuu wa shule za sekondari,za...