Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi mh. William Lukuvi ametoa hatimiliki 8,000 za makazi kwa wananchi wa wilaya mbili za Nyamagana na Ilemela mkoani Mwanza, zilizotokana na upimaji wa...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Shilika wa Uzalishaji na Ugavi wa Umeme nchini(TANESCO) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro wamefanikiwa kukamata Vishoka wawili. Kishoka wa kwanza anaitwa Nehemiah Mbedule ambae...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana hivi hata wenzetu Ulaya kwenye ofisi zao kuna viradio na TV kubwa..... Ukiingia kwenye ofisi za umma siku hizi utakutana na TV kubwa kwenye ofisi hasa za...
0 Reactions
8 Replies
918 Views
Leo ni mamilioni ya miaka yamepita Tangu binadamu wa kwanza alipofariki. Leo ni mamilioni ya miaka imepita Tangu nabii adamu na mkewe Hawa walipofariki. Ni mitume na manabii wengi imewapitia miaka...
42 Reactions
158 Replies
27K Views
Wana JF Watu watatu ambao ni wafuasi wa Chadema wamenaswa na Jeshi la Polisi Jijini Dar es salaam wakijiandaa kushambulia ofisi za Chama Cha Mapinduzi. Aidha mbali na kukamatwa kwa wahalifu hao...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
katika ulimwengu wa waamini Mungu, utajifunza kuwa sifa zoote za mazuri mtu afanyayo ni KWA MUNGU. Mungu pekee ndiye anayestahili sifa,kutukuzwa,kuabudiwa,kuenziwa. kwa upofu wa ukweli huu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni sahihi waziri wa mambo ya ndani ya Inchi kumpigia kampeni mgombea ubunge kupitia chama chake
0 Reactions
4 Replies
790 Views
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES Image captionJay-Z ameshtutumu Trump kwa kutotatua tatizo lolote akiwa madarakani Rais wa Marekani Donald Trump amemjibu Jay-Z baada ya mwanamuziki huyo wa muziki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wananchi wa Tegeta mtaa wa Chasimba wanapigwa na kuumizwa vibaya muda huu na wanajeshi wa Tanzania kisa ni baada ya mwanajeshi mmoja kufumaniwa na kupewa kichapo heavy sasa na wao ndio wanalipiza...
11 Reactions
231 Replies
22K Views
Tz?!
1 Reactions
0 Replies
570 Views
FIFA imefanya mabadiriko na marekebisho kadha wa kadha katika sheria, taratibu na kanuni za mpira wa miguu. Binafsi natamani wangerudisha "GOLDEN GOAL" ambalo lingefungwa tu kwenye dakika 30 za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ushauri wenu. Nina Incubator ya 500W ninasumbuka sana na namna umeme unavyokatakata kiasi kwamba inaniharibia na kutoa hatching rate mbovu. Na nina Generator lkn...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Fstjet mbona mnatunyanyapaa wadau wa KIGOMA anzishen safari za huku mtapata watu sana si wa kigoma tu bali hata nchi jirani za BURUNDI, RWANDA hata CONGO DRC tunateseka na bei za kupaa kwa ATCL na...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Airtel wameanza maandalizi ya kuingia katika soko la hisa huku wakii value kampuni yao kwa 100 bil ambayo naona ni sawa kabisa na uhalisia. Wale wenzangu voda waliosema vodacom ina thamani ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo hii dollar moja ya Kimarekani ni Tshs. 2249.04 wakati wiki moja iliyopita dollar moja ya Kimarekani ilikuwa Tshs. 2236. Kwa Wazazi wanaosomesha watoto wao nje ya nchi wanaumia sana kwa kushuka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla, amesema kuwa nyumba za kifahari 83 zilizopo Njiro, mkoani Arusha ambazo zinamilikiwa na raia ziko hatarini kubomolewa kutokana na kujengwa eneo...
5 Reactions
90 Replies
15K Views
Watu Hao Ni Wa Ajabu Sana Mafanikio yao kiujumla yanatokana na dhuluma kwa kutumia mfumo dhaifu uliokosa usimamizi bora! Lakini pamoja na kunufaika na mfumo huo dhaifu watu hao bado tu wamezidi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, nipende na mimi kutoa la moyoni kuhusu hili suala linalowahumiza walimu wa sekondari masomo ya sanaa. Kusema ukweli baada ya kutolewa lile tangazo walimu tajwa hawana raha...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Kuna wengine kazi wameanza kuzipenda toka wakiwa watoto kulingana na mazingira walioishi wakati huo.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Jeshi la polisi kwa kushirikiana na askari wa TANAPA wamewakamata watu watatu wakiwa na nyara za serikali na silaha tatu za kivita katika kijiji cha Kapalamsenga wilayani Tanganyika wakiwa na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…