Morogoro: Watu wawili wakamatwa kwa wizi na utapeli

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,497
Shilika wa Uzalishaji na Ugavi wa Umeme nchini(TANESCO) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro wamefanikiwa kukamata Vishoka wawili.

Kishoka wa kwanza anaitwa Nehemiah Mbedule ambae ni Mwajiriwa wa Shirika hilo akiwa vifaa vya Shirika kama Nguzo moja ya LT pamoja na nyaya za aluminium 50 mm2 zenye urefu wa mita 100.

Kishoka wa pili Kelvin Gervas Ntobangi akitapeli

index.jpeg

index.jpeg


index.jpeg



index.jpeg
 
Akili za kichadema hizi

Hawa ndio walikuwa bize kuzungusha mikono wakidhani kuna wa kuwaletea hela hapa duniani.
 
Back
Top Bottom