Waziri wa mambo ya ndani ya Inchi

ulaya12

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
834
898
Hivi ni sahihi waziri wa mambo ya ndani ya Inchi kumpigia kampeni mgombea ubunge kupitia chama chake
 
Hajui hata afanye nini wizarani wakati wakuu wote wa vitengo wanawajibika kwa Makufuli
Sidhani kuna mtu hata mmoja anayeenda kuonyesha hata jambo moja la ubunifu au la maana alilofanya mwigulu Nchemba tangu alipokuwa wizara za fedha,kilimo na sasa ya Ndani
Complete big flat zero
Kete yake ni kupambana na CHADEMA tuu hana lingine la kustahili hata Utendaji wa mtaa
 
Hivi ni sahihi waziri wa mambo ya ndani ya Inchi kumpigia kampeni mgombea ubunge kupitia chama chake
Nchi sio inchi, nikirudi kwenye mada sio sahihi ila kwakuwa mwenye kisu kikali ndiye anayekula nyama hatuna namna
 
Waache tuuu hawana kazi wizarani, kazi zote zime kuwa centralized Ikulu
 
Back
Top Bottom