Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

How can I forget this..........................few weeks before the Hon. Chacha Wangwe met his untimely death he had one of his last nasty altercation with the then Deputy Speaker Anne...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kichaa anaweza kutembea ovyo tu na kuokota chochote anachokiona hata jalalani na kula lakini huwezi kusikia akilalamika tumbo linauma sasa jaribu wewe ambaye upo normal uone kama hujahamia...
7 Reactions
57 Replies
10K Views
Kutokana na mambo yanavyokwenda serikalini, na bahati nzuri viongozi wetu wengi ni waumini wazuri Dini, Mnaonaje Baraza la maasikofu, bakwata na taasisi zote za dini zikaazimia kuweka utaratibu Wa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, swali langu ni dogo tu: Kama wabunge na madiwani wa UKAWA wanajiuzulu kwa madai ya kuridhishwa na utendaji 'mzuri' wa rais Magufuli; swali langu ni kwanini mpaka sasa hakuna Mbunge wala...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni baada ya kutembelea gereji tofauti tofauti nimegundua hawa wamiliki wa gereji wanafanana sifa moja. Bila kujali asili ya mmiliki wa gereji wote wanafanana sifa ya ukorofi na utata. Swala la...
0 Reactions
4 Replies
992 Views
Nimejaribu kufanya Utafiti wangu mdogo tu japo yawezekana ukawa si rasmi ila viashiria vyake vimenipa jeuri na moyo wa kuja na mtazamo kwamba Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama na Taasisi zote...
9 Reactions
98 Replies
9K Views
Kisheria hukukosesha haki. Mfano ni mingi tujirekebishe. Tayari=tiyar Rahisi=lahic Tabora=tabola Furaha=fulaa Hisia=isiar Jamani=jomonii Kisura=kixur Coletha=Koreta Yako mengi,ila tu jua kuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nadhani mkulu anachokonoa watu sana, sijawahi kumsikia Fred eneo lolote lile zaidi ya Mt. Meru Hotel na uingereza.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nirahi yangu nyote mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kazi zenu za kila siku na zakujenga Taifa Letu,nimeamua kutumia ukurasa huu ili pengine waziri wangu wa afya ujue kuwa ninacho kisimamia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Abiria waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Tahmeed wamenusurika kupoteza maisha baada ya basi hilo aina ya Yutong kuteketea moto leo mchana Kijijini Matumbi wilaya ya Handeni mkoani...
4 Reactions
90 Replies
16K Views
Najua kwamba muda wowote utafanya 'uteuzi ' wako wa kujaza nafasi za Mnadhimu Mkuu wa JWTZ na Mkuu wa JKT baada ya ' Makamanda ' waliotukuka akina Mwakibolwa na Isamuhyo Kustaafu rasmi jana kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naikumbuka vyema Sana hiyo siku, niliwasili Dodoma majira ya saa tisa alasiri na kisha mimi na dereva wangu tukapaki ktk hoteli moja maarufu sana kwa kuchoma nyama ya mbuzi. Tulikuwa tunatoka Dar...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni ukweli kwamba MAXCOM ni moja kati ya kampuni zilizoleta mabadiliko makubwa nchini katika sekta ya fedha, kwa kurahisisha miamala na kuisogeza zaidi kwa jamii kupitia huduma kama vile MAX...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Habar za leo wanajukwaa, Awali ya yote,naomba niwatake radhi wale ambao watakwazika kwa Uzi huu Pia,naomba ieleweke kwamba;sijaleta Uzi huu wa kumpongeza Ndugu 'Ephraim Majinge' ili niweze kupata...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu wapi naweza nikabadilisha pesa za uturuki kwa Dar es salaam? Nimejaribu maduka ya kubadilisha pesa kariakoo hawabadilishi, kama kuna mtu mwenye ufahamu aniambie. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Wandugu habarini za leo. Nahitaji kupata audio za speech za Malcolm X mpigania haki za watu Weusi. Naombeni msaada mahali napoweza kuzipata. With Respect to you all..... Mtali
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Kama Makao Makuu ya Umoja wa Afrika ( AU ) huko Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia imekuwa ikifanyiwa Upelelezi / Udukuzi na Wachina kwa miaka takriban mitano hadi ilipokuja ' Kushtukiwa /...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
http://www.ippmedia.com/…/habari/mbivu-mbichi-fao-la-kujitoa Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu juu ya sakata la fao la kujitoa, suala linalowahusu au kuwaathiri wafanyakazi wengi walio wanachama wa...
9 Reactions
18 Replies
6K Views
Moderators naomba kujua hii inaletwa na nini kufungia uzi. Kwa nia njema tu! Na nani anaamua hivyo au watu wanaleta maombi. Vigezo gani mnatumia
1 Reactions
1 Replies
537 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…