Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,100
Ni baada ya kutembelea gereji tofauti tofauti nimegundua hawa wamiliki wa gereji wanafanana sifa moja. Bila kujali asili ya mmiliki wa gereji wote wanafanana sifa ya ukorofi na utata.
Swala la kutukana wafanyakazi wake wakati akiwapa maelekezo ni la kawaida sana. Kurushiana manispana, kumwagika oil chafu na kukimbizwa hovyo huko workshop.Na kuna mmoja alifika mbali mpaka kutukana wateja. Akikwambia kanunue hiki ukileta tofauti utajuta. Na kila akwati ana bia yake mkononi.
Nashindwa kuelewa hivi kuna uhusiano gani kati ya umiliki wa magereji na utata?