Kwa kawaida hakuna Mtu ambaye hapendi kuishi maisha marefu lakini tu watu hawajui ni namna gani ya kufanya ili wayaishi hayo maisha marefu mpaka waseme ahsante MUNGU sasa waweza kutimiza mapenzi...
Tanzania vijana wote tunaomba tuungane na tushilikiane kuiomba serikali yetu tukufu kufatilia kwa umakini na kwa hali ya kujiridhisha na hizi betting nchini
Watu wanaibiwa sana na ni utapeli...
Kumekua na vipindi vingi katika TV na Radio station mbali mbali,
Tukiongelea zaidi Media kubwa kubwa unahisi ni kipindi cha aina gani kwa sasa kikianzishwa kitateka watu wengi, kiwe kipindi cha...
Sijajua tatizo linakuwa nini unakuta watu katika familia moja na ndugu wa karibu tuu
Unakuta hapendi kuona ndugu yake akipata mafanikio yaani anapenda kuona ndugu yake maisha yake abakie hivyo...
SOMA NA UTIE AKILINI
1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na WATU WENGINE.
2. Jina lako umepewa na WATU WENGINE.
3. Umepata elimu kutoka kwa WATU WENGINE.
4. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa...
Habari za mchana wana jf.
Baadhi ya wavulana na wanaume wamekuwa na tabia ya kuwa gegeda watoto wa wenzao wana wachafua ukeni kuna haribika wangali wabichi kutokana na mimbegu yao yenye UTI na...
Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington ktk mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha Obama akatoa taarifa kwa walinzi wake wawe tayari maana...
Kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu haswa waliolelewa kwenye misingi ya dini kuwa Nyoka ni shetani au ni agent wa shetani.Dhana hii ni potofu na inapaswa kukemewa na kuondosha kwenye fikra za...
Habari wakuu.
Tunawashukuru bodi ya MISHAHARA kwa kuwa suala la mishahara kwa WATUMISHI wapya limeanza kufanyiwa kazi baadhi wamepokea salary ila si wote.
Ninachoomba ni chonde chonde wapatieni...
Ingawa Ibara ya 12 (1) ya Katiba ya Tanzania inasema binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa na kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
Kwamba watu wote ni sawa...
Siku za hivi karibuni katika posta ya Arusha (Meru na Clock Tower) kumekuwa na upotevu mkubwa wa vifurushi hususani vile vinavyotoka nje ya nchi. Hata pale ambapo kifurushi kina kuwa na tracking...
Wakuu salamu kwenu,mara paaap mshahara umeingia, nachukua kiasi kadhaa cha pesa kinachotosha kuhudumia familia kwa chakula kwa takribani siku 30 nampatia wife anunue mazagazaga ya nyumbani halafu...
Rais Joseph Kabila ameahidi kwamba uchaguzi wa urais nchini humo utafanyika mwezi Disemba.
Rais Joseph Kabila amepinga ukosoaji unaotekelezwa na jamii ya kimataifa kuhusu kucheleweshwa kwa...
Watu wanane wamefariki dunia katika mazingira tofauti kuanzia Jumatatu hadi juzi wilayani Kiteto mkoani Manyara, huku chanzo cha vifo hivyo kikiwa bado hakijajulikana.
Wakati wakazi hao...
Jamani hii sio fair!
Watu maarufu ndiyo wakilia shida kidogo wanasaidiwa kwenda kutibiwa nje ya nchi sisi kajamba nani hakuna kitu kama hicho.
Kwa wale wafutiliaji wa kipindi cha njia panda cha...
Shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu limesababisha rais huyo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), atumikie nafasi hiyo kwa miezi sita baada ya kujeruhiwa vibaya.
Lissu, ambaye kwa sasa...
Hili swali najiuliza sana hivi vindege vidogo vinavyoruka mikoani kama coastal,zana air auric kwann vinapaa na rubani mmoja? Hivi mfano siku rubani mmoja anapata tatizo angani itakuwaje? Mamlaka...
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania!
Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu.
Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe tu.
Boyfriend...