Kwa wahusika hili vumbi ni hatari kwa afya zetu, tunaomba mtusaidie huu ukarabati wa hiki kipande cha kwenda kwenye stand ya daladala ukamilike tuwe na amani.
Maana hili fumbi ni hatari.
JAFO AFURAHISHWA KASI YA MRADI WA DMDP KINONDONI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo Leo Amefanya Ziara Wilaya Ya Kinondoni Kukagua Mradi Mkubwa Wa DMDP.
Katika Hatua Hiyo...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema magogo 938 yaliyopo Bandari ya Dar es Salaam yatauzwa wakati wowote baada ya wamiliki wake kutojitokeza.
Mwezi uliopita, Kigwangalla...
TAASISI YA WACHUNGAJI TANZANIA.
Imehadili yafuatayo kutokana na kitendo cha MTU anajiita NABII Tito kulichafua Jina la MWENYEZI MUNGU.
1.Mamlaka ya uongozi wa makanisa ya kilutheri kulifumbia...
Nimeikuta kwenye fb page ya Happy Joseph na ninawaleteeni kama ilivyo
TUNAJIFUNZA NINI? (1- Wanawake)
Kwa asili kabisa toka uumbaji, Mwenyezi MUNGU aligawa majukumu. Mwanaume alipewa MAMLAKA na...
Juzi kuamkia mwaka mpya, daktari Mzanzibari alilewa, katika ulevi huo akatoa Maneno yasiyokuwa ya staha kwa Mtume Mhamad SWA, clip hiyo ilionekana mitandaoni, akakamatwa kwa kosa la kumkashfu...
Wadau wa JF
Mamajusi ni neno la Kiswahili ambalo limetokana na Kiarabu 'majus' lililopokelewa kutoka Kiajemi cha kale kupitia Kigiriki.Kwa asili neno hili lilimaanisha makuhani wa dini ya Uajemi...
Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu wamejeruhiwa katika ajali ya gari baada ya basi dogo la abiria kampuni ya Mkombozi kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Walawi katika eneo la...
Pengine haya mambo huwa hayamfikii Inspekta Jenerali wa Jeshi la
Polisi lakini kiukweli kumekuwa na chuki kubwa sana ya wananchi kwa
Jeshi hilo.
Siku ukibahatika kukutana na Mkuu huyo Utamweleza...
Nina ndugu wawili wamefia hospitali mpya Mlonganzila, mmoja hata hakupata nafasi ya kuhudumiwa na dakatari, mwingine kwa sababu ya uzembe.
Hivi mkuu analazimisha kufungua hospitali mpya. Huku...
IGP siro uwa anakemea matendo ya hualifu kama wakutumia silaha au uporaji wa aina yeyote..Kuwa mtu asijiusishe nao...huku akimalizia kwa kusema mwisho wa ubaya ni ubaya.
Sasa awa vibaka wamekuwa...
Habari zenu ndugu zangu,
Kwa muda wa Majuma kadhaa nipo Dodoma Mjini na nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi.
Katika uchunguzi wangu nimegundua mambo kadha wa kadha.
Hapa nitazungumzia...
Licha ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutoa kauli ya kibaguzi dhidi ya nchi za Afrika, inaelezwa kuwa bado wananchi wa bara hilo wanaukubali uongozi wa rais huyo.
Wakati akiingia madarakani...
Hellow ladies and gentlemen,
Kwa Muda Mrefu nimekuwa nikiwaza kama ni mikosi ama kuna sehemu nimekosea? Maana maisha yangu yamegeuka ni ya mihangaiko kila pakuchapo, nishafanya kazi katika...
Akihijowa na DW mchana huu Jenerali Ulimwengu ameshauri Makonda ashitakiwe...
==============================================
Amesema ni tukio linaloweza kufanywa na viongozi ambao wanajiona...
Licha ya Jeshi wito wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi kusisitiza mara kwa mara akiwataka wananchi kutojichukulia sheria mikononi, wakazi wa mtaa wa Kaseke kata ya Mkolani jijini...
Wasalamu wakuu,
Kwanza nipende kuwapa pongezi kidogo wafanyakazi wa hii Benk kwa jinsi wanavyojituma, japo Wengi ni wamama na wazee.
Ni kweli kuwa hii Benk pekee ambayo Haina vimwana Wengi na...
Habari zenu wadau
Ni wiki moja sasa tangu mh Raisi atoe kauli kuwa elimu ni bure hivyo walimu wote waliokusanya pesa kutoka kwa wazazi ajiri ya michango mbalimbali irudishwe
Nikiwa Kama mzazi...
Mjue ofisa anayelazimisha watumishi wake kufanya kazi hata kama ni wagonjwa,mpaka kufikia hatua ya kujifungulia ofisini.
Ofisa mmoja ambaye ndiye mkuu wa kitengo cha uhamiaji hapa Airport...