Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Wasalamu wakuu,
Kwanza nipende kuwapa pongezi kidogo wafanyakazi wa hii Benk kwa jinsi wanavyojituma, japo Wengi ni wamama na wazee.
Ni kweli kuwa hii Benk pekee ambayo Haina vimwana Wengi na wakuvutia lakini kikazi hawa vikongwe wanajitahidi. Kwa hiyo Kama unatafuta tabasamu na mapokezi mubashara hapo sio mahali pake lakini Kama unataka shuguli za kibenk nenda kwao....
Pamoja na Hilo...... Kuna mapungufu hapa:
Iko hivi, katika baadhi ya branches, sina uhakika Kama ni zote... Wameanzisha huduma ya bima (insurance). Chakushangaza katika kila branch anayejua juu ya huduma hii ni mtu mmoja tu, ambaye walimpeleka training kwa ubahili wao. Ina maana Kama huyo mtu hayupo hupati huduma yoyote ya kibima.... Tuelewe kuwa bima ni issue sensitive na Ina uharaka wake, kwa mfano bima ya safari... Ina maana Kama huyu mtu hayupo hutapata bima labda kwa vendor mwingine.
TPB, acheni ubahili wawekeni watu mahali Kama sio wote basi at least watano muwafundishe hiyo kitu ili tupate huduma sawia. Acheni ubahili....
Bado watu wanahitaji na wanaamini huduma zenu.
PERIOD.