Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

nimekuwa mteja wa kudumu wa CRDB kwa kipindi cha mwaka wa Tano sasa, tangu nimerejea nyumbani Tanzania karibu miezi 3 sasa kuna kazi nafanya ambayo malipo yake ni kwa hundi, sasa kila ninapoenda...
6 Reactions
95 Replies
12K Views
Mimi ni Miongoni wa Madereva wa Malori ya Mchanga Morogoro, Kero yetu ni hii Kuna ushuru tunatozwa na viongozi wa kata Ya Mindu manispaa ya Morogoro ambao wao Bado wanatumia Risiti za vitabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu, tukiwa tunaingia ulimwengu wa kidigitali si kwa pesa na mitandao tu, ni pamoja na huduma za kijamii na kibihashara. Napenda kuwajuza ndugu zetu wa Jumia kuwa wakati wanaendelea kutoa huduma...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Najua Makabila yote tunaroga ila kwa sisi wengine kadri teknolojia inavyoenda Kasi na mabadiliko yake basi hata Sisi pia tumebadili na jinsi ya Kuroga ila nayashangaa mno haya Makabila mawili moja...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyosema msikiti wa Mtambani Kinondoni unateketea Zimamoto wakijitahidi kudhibiti moto Kwa ufupi Walioshuhudia tukio hilo walisema kwamba moto huo ulizuka ghafla baada ya...
9 Reactions
180 Replies
40K Views
Ni ajabu unakuta nchi ikitaka kujenga Reli badala ya kujenga Reli kwa matumizi yake inafikiria kujenga Reli kwa matumizi ya nchi nyingine, hii ni ,,colonial thinking” Wakoloni walifanya hivyo kwa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Jihadhari na wanakupigia kwa namba hiyo wakikudanganya eti umeshinda pesa taslim! Watakuuliza una salio kiasi gani kwenye simu na mwishowe watakukanganya hadi utawapa password yako bila kujua...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Nianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu:D. Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini...
8 Reactions
340 Replies
27K Views
Rais Donald Trump amesema nchi za Afrika pamoja na nchi kama Haiti na El Salvador ZIMEOZA. Kufuatia kauli za dharau na matusi kutoka kwa bwana huyu kila anapojisikia, basi napendekeza hatua...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau, wa mchezo wa basketball naomba kujuzwa ni channel/tv au dishi gani nikifunga nitapata kuangalia NBA live? Nimekuwa nyuma kidogo before nakumbuka Dstv na Star times walikuwa wana rusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jiji la Arusha liko mbioni kujenga vituo viwili vya mabasi vya kisasa vitakavyogharimu takribani Shilingi bilioni 10. Kikubwa zaidi kujengwa eneo la Moshono na kingine kujengwa huko Kata ya...
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Polisi Dar imekamata silaha aina ya AK 47 na watuhumiwa wawili nyumbani kwa mzee Said Omary (62) baada ya kupata taarifa kuwa kuna wahalifu wanataka kufanya tukio la wizi wa kutumia silaha...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Wana JF Miezi kadhaa Nyuma waziri aliyeteuliwa wizara ya Mali asili na utalii Mh Kingwangwala aliingia kwa kasi sana nakumbuka mwezi September au November mwanzoni alitoa agizo na amri kampuni...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Sekta ya usafiri wa anga katika nchi za Afrika inakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo kuahirishwa kwa safari, wateja kusubiri ndege muda mrefu, uchache na uchakavu wa ndege, miundombinu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni ya UmojaSwitch leo imechezaesha droo yake ya bahati nasibu ya Shinda na Umoja kwa wateja wake zaidi ya 32,222 waliotumia kadi za UmojaSwitch kati ya tarehe 1- 8 Januari mwaka huu ambapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtanzania mmoja mkazi wa Mwanza ambaye ni mlemavu ameshitakiwa nchini Kenya kwa mashitaka mawili ya kunajisi watoto, mmoja ya watoto hao akiwa na umri wa miaka 6, Mshitakiwa huyo amekataa...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Wavuvi haramu wawili wamejeruhiwa vibaya kwa kuvunjika miguu baada ya kushambuliwa na viboko wakati wakivua samaki kwenye Ziwa Burigi eneo la Pori la Akiba wilaya ya Muleba mkoani Kagera hali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Salute... Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu ni wapi eneo hili la "Mtambani" linapatikani Dar es Salaam...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Suala la maji katika mtaa wa shamaliwa kata ya igoma wilaya ya Nyamagana limekuwa tatizo sugu, maji hayapatikani karibu miezi 2sasa na umbali wa kutoka zilizo Pampu za maji hadi mtaa huo ni km 10...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello guys. i think kwa dar, masaki is the best place, tena kwenye street ambayo impepigwa lami, nzuri, na imetulia kimyaaa, jirani hakufahamu, na ww haumfahamu jirani yako. Unatoka zako kimya...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Back
Top Bottom