Watu wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi wa kupeperusha...
Habari zenu wakuu.
Leo nimepita kituo cha mabasi cha Mbezi Louis almaarufu Mbezi Mwisho. Kama picha zinavyoonyesha, kati kati ya sehemu ya juu na ile ya chini (zinapopaki gari za Gongo la Mboto)...
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako...
Abiria wanaotumia barabara kuu itokayo Ruvuma- Masasi kuelekea Mtwara na mikoa ya Lindi na Dar es Salaam hii leo wamejikuta wakinyeshewa na mvua pamoja na kushindwa kuendelea na safari zao...
Habari zenu waungwana,leo nilikuwa nakatiza mitaa ile ya kituo cha polisi urafiki,sasa wakati wa kupita nikaona pikipiki nyingi zimepangwa nje ya kituo,sasa nauliza kwa wenye kujua je pikipiki...
Abiria wanaotumia barabara kuu itokayo Ruvuma- Masasi kuelekea Mtwara na mikoa ya Lindi na Dar es Salaam hii leo wamejikuta wakinyeshewa na mvua pamoja na kushindwa kuendelea na safari zao...
Katika kuimarisha Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Nchi yetu ya Tanzania na Nchi ya China, Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa kimataifa wa Chama Cha Mapinduzi (SUKI) Comred Ngemela...
Mtu mzito , Mshana Jr na wengine ,Niko na swali
Ukienda kwa wanganga,ukapata majibu mawili tofauti 1. umerogwa 2.una majini, asilimia ya majibu yao pia iko tofauti, umerogwa 75%
una majini 25%...
Hii halmashauri inaonekana ni mpya sana wanadai inamiaka miwili (2) ila mambo inayoyafanya niabu tupu, nilifika pale kuhitaji huduma kuanzia getini kwa mlinzi mpaka wote wanaishi kama miungu watu...
Wakuu Habari zenu... Katika harakat za Maisha nikajikuta nimeomba chuo marekan na Nikapata... Nimeenda kwenye interview ubaloz wa marekan.. Nikapigwa Maswali mpaka nkachanganyikiwa alafu mwisho WA...
Wanawake wa Tanzania TAFADHALINI...AMKENI na fanyeni kile walichokifanya wenzenu wa Kenya tarehe 13/11/2014...waliwakatalia wapuuzi wachache katika nchi hiyo waliotaka kuwachagulia aina ya nguo za...
UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), umeeleza kuhusu vifo vya watoto njiti vilivyodaiwa kutokea hospitalini hapo mwishoni mwa wiki.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mkurugenzi Mtendaji...
Wakuu ni siku nyingne teka naendeoea kuwakumbusha kuhusu huduma yetu ya out side cartering kwa wakazi wa dar na vitongoji vyake tunasupply vyakula vya Aina yote kulingana na budget yako ilivyo pia...
Kiukweli huu mtandao wa Tigo wanazingua sana kwenye huduma zao asee.
Tangu jana nimenunua luku na hela wamekata lakini mpaka sasa Token zangu sijatumiwa .
Ukiwapigia simu ,simu inaiita muda...
Hili jambo mkiliweka wazi waumini na wananchi wakalielewa litawasaidia sana katika utendaji wenu. Nafahamu baadhi ya wamisheni wa kiluteli pale kidugala ambao walikuwa ni wachungaji na walilipa...
HIVI NINI KAZI ZA WIZARA KAMA WIZARA YA MAJI/UJENZI/KILIMO NK.
-------------------------------------------------------------
Nimejaribu kutafakari na kuangalia jinsi Wizara zetu vyingi...
Mahabusu wanaoshikiliwa katika gereza kuu la kisongo jijini Arusha leo wametoa kioja kipya mahakamani Mara baada ya kuteremka kwenye karandinga la magereza wakiwa (watupu )wamevua nguo kama ishara...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesisitiza kuwa ataapishwa, kutwaa madaraka na kuunda baraza lake la mawaziri hata kama ikimlazimu kufanya hivyo akiwa mafichoni.
Katika mahojiano...
Tuliokulia vijijini tunafahamu jinsi maisha yetu yalivyo ya shida, wenye hali nzuri huwa wanakula atleast mara mbili kwa siku huku wengi tuliishia kula mara moja kwa siku na bado tunafanya...