Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Amani iwejuu yenu ndugu wanajamvi, Kama kichwa cha mada kinavyo sema sisi tulio ishia formm four tukitaka kujilipua kwenda US tunaweza kujiendeleza kielimu kweli!. Hususani kwenye kozi za...
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Kiukweli tunakubali kabisa kwamba tulichukua mikopo kipindi tunasoma elimu ya juu na tunapaswa kuirejesha ili wengine waweze kukopeshwa lakini hizi asilimia 15% zilizoongezwa kutoka asilimia 8%...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Mamalaka ya mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ wanazindua Mwongozo kwa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye na Waziri wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Gazeti la Forbes limemtangaza Mo Dewji kuwa anayeongoza kama Bilionea Africa Mashariki. Naomba kufungua mjadala kwani mpaka sasa mie binafsi sioni kigezo kilichotumika kumpa huyu dogo hiyo...
6 Reactions
151 Replies
23K Views
JE NI WAKATI GANI NISIMAME KWENYE ZEBRA CROSSINGS AU JE NI AMRI KUSIMAMA KWENYE ZEBRA HATA KAMA HAKUNA MWENDA KWA MIGUU ANAYEVUKA? Sheria inasemaje? Sheria ya usalama barabarani kifungu cha 65...
17 Reactions
43 Replies
22K Views
KAMANDA WA POLISI MKOA WA KAGERA, AGUSTINE OLLOMI. MWILI wa Betia Felix (18) mkazi wa Kijiji cha Nyakatete, wilayani Kyerwa mkoa wa Kagera, umeokotwa ukiwa umekatwa matiti na kufungwa kamba...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiusikia huu usemi wa 'Tigo hao wanapita' muda sasa toka Polisi kupewa pikipiki wakiwa wawili wawili na kuzunguka mitaani kwa ajili kulinda na kufuatilia matukio na wale wanaovunja...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hawa police wa usalama barabarani bado ni kero kwa wenye magari. Wamekuwa si watu wa haki badala yale ni watu wa dhuluma na uonevu. Maana imekuwa sasa hivi ni mwendo wa cheti tu. Gari ikiwa na...
35 Reactions
188 Replies
14K Views
Ukosefu wa takwimu zinazojitosheleza za meli, maeneo ya bahari zinakoendesha shughuli za uvuvi umekuwa kikwazo kwa serikali za nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania kukabiliana na uvuvi...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Kwa wajuvi wa mambo, Naomba kujua Samaki samaki ilihamia mwaka gani Mlimani City mall? Na kabla ya kuhamia ilikua mitaa gani maeneo ya mlimani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari Zenu kwa Hisani ya Mshana Jr. Tukumbushane hapa visanga vya usiku wa kuamkia leo Tulichokifanya.. Jana nimetoka na washikaji tumeenda kugambeka sasa imefika mida gambe imenikolea...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba wale wote ambao wanamwabudu Mungu wa kweli na kupumzika siku ya saba ya juma ambayo ni sabato, achia namba yako hapa au inbox ili tutengeneze whatsapp group tuelekezane zaidi. zingatia...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Raisi John Magufuri aliahidi kwamba ifikapo mwezi wa November, 2017 watumishi wote waliokuwa wanastahili kupata promotion, watapata. Ahadi hii ilichagizwa kwa waraka uliotolewa mwezi November...
1 Reactions
59 Replies
14K Views
Nimetoka Kugombana sasa hivi na baadhi ya ' Marafiki ' zangu ambao kila mara hupenda kutupia tu Picha za Rafiki yetu Mgonjwa ambaye alivamiwa na ' Majambazi ' maeneo ya Bunju miezi miwili...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ndugu wanajukwaa wenzangu salaam! Nimeamua kuweka hapa manyanyaso tunayoyapata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Masasi wa sasa. Toka mwaka jana mnamo mwezi November kulitokea...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jinsi wabunge au wananchi na viongozi wanavyowaomba mawaziri wawatekelezee miradi as if waziri anazitoa ela mifukoni mwake... Mfano unakuta mtu anasema-" tunakushukuru sana Mh. Waziri kwa upendo...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Lets say kiwanja changu ni kidogo na nimeshajaza nyumba kiwanja chote, je, nikitaka kuongeza jengo la ziada kwa kuchimba andaki kwa chini na kuingia chini ya kiwanja cha jirani chini kwa chini...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani, wameomba kukutana na Rais John Magufuli kumweleza matatizo yanayowakabili ikiwamo vipengele wanavyodai kuwa ni kandamizi katika kanuni mpya za leseni za...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
MWANAMITINDO wa kimataifa afanyaye shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata ajenga madarasa mawili ya shule ya msingi iliyopo katika kijiji cha Msinune kilichopo kata ya Kiwangwa Wilaya ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hili suala mafuta ya petrol na diesel kuendelea kupanda bei wakati katika soko la dunia mafuta bei imeshuka nashindwa kuelewa nafasi ya EWURA katika hii biashara naoana kama wanaongeza bei...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…