Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii halmashauri inaonekana ni mpya sana wanadai inamiaka miwili (2) ila mambo inayoyafanya niabu tupu, nilifika pale kuhitaji huduma kuanzia getini kwa mlinzi mpaka wote wanaishi kama miungu watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu... Katika harakat za Maisha nikajikuta nimeomba chuo marekan na Nikapata... Nimeenda kwenye interview ubaloz wa marekan.. Nikapigwa Maswali mpaka nkachanganyikiwa alafu mwisho WA...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wanawake wa Tanzania TAFADHALINI...AMKENI na fanyeni kile walichokifanya wenzenu wa Kenya tarehe 13/11/2014...waliwakatalia wapuuzi wachache katika nchi hiyo waliotaka kuwachagulia aina ya nguo za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), umeeleza kuhusu vifo vya watoto njiti vilivyodaiwa kutokea hospitalini hapo mwishoni mwa wiki. Akizungumza na MTANZANIA jana, Mkurugenzi Mtendaji...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu ni siku nyingne teka naendeoea kuwakumbusha kuhusu huduma yetu ya out side cartering kwa wakazi wa dar na vitongoji vyake tunasupply vyakula vya Aina yote kulingana na budget yako ilivyo pia...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Kiukweli huu mtandao wa Tigo wanazingua sana kwenye huduma zao asee. Tangu jana nimenunua luku na hela wamekata lakini mpaka sasa Token zangu sijatumiwa . Ukiwapigia simu ,simu inaiita muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili jambo mkiliweka wazi waumini na wananchi wakalielewa litawasaidia sana katika utendaji wenu. Nafahamu baadhi ya wamisheni wa kiluteli pale kidugala ambao walikuwa ni wachungaji na walilipa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HIVI NINI KAZI ZA WIZARA KAMA WIZARA YA MAJI/UJENZI/KILIMO NK. ------------------------------------------------------------- Nimejaribu kutafakari na kuangalia jinsi Wizara zetu vyingi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahabusu wanaoshikiliwa katika gereza kuu la kisongo jijini Arusha leo wametoa kioja kipya mahakamani Mara baada ya kuteremka kwenye karandinga la magereza wakiwa (watupu )wamevua nguo kama ishara...
6 Reactions
34 Replies
7K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesisitiza kuwa ataapishwa, kutwaa madaraka na kuunda baraza lake la mawaziri hata kama ikimlazimu kufanya hivyo akiwa mafichoni. Katika mahojiano...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Tuliokulia vijijini tunafahamu jinsi maisha yetu yalivyo ya shida, wenye hali nzuri huwa wanakula atleast mara mbili kwa siku huku wengi tuliishia kula mara moja kwa siku na bado tunafanya...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Kama mada inavojieleza Kama umeshawahi kuibiwa basi unauchungu kwa kua mada hii inakukumbusha property zako/zenu. Hali imekua ngumu mtaani kiasi cha kua wezi wamezidi ujasiri wanarudi mara kwa...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Facebook ni mtandao ambao umetukusanya Watanzania wengi ambao baadhi yetu elimu inayohusu masuala ya privacy hatujaipa kipaumbele au hatujui tufanye nini ili kulinda masuala yetu binafsi...
21 Reactions
72 Replies
7K Views
Ndugu wanajamii forum, ebu Leo tujadili mwenendo wa Elimu ya Bongo na jinsi ambavyo Mahakama wanafunzi wa kibongo wanavyobahatisha maisha ili watoke. Anayeposti hapa ni Mwalimu wa Biolojia na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu na wanasheria mlioko humu naomba msaada kuuliza hivi sheria ya hotel levy kwenye magest bado ipo? Mbona kama nilisikia mwaka jana(2017) bungeni ilifutwa na serikali. Sheria alikuwa inataka...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nimeweka salio la 2000 baada ya kama masaa 2 nataka kujiunga naambiwa salio lako halitoshi, kuangalia nakuta 1850. Nimewapigia wameniambia wamekata 150 huduma ya TIGO HADITHI. Nimeshangaa sana...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Takriban watu 11 wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Nissan Caravan inayofanya safari za Kakonka na Kahama. Ajali hiyo imetokea jioni saa 12 kuamkia leo maeneo ya...
1 Reactions
55 Replies
12K Views
HABARI NGOA NIANZE NA SIFA ZAKE 1. Alishawahi tembea angani 2. Ana uwezo wa kuongeza account yako ya bank na ikajaa pesa 3. Na kadhalika ila hana ushuhuda zaidi wa hapo tu kanisani na bila...
0 Reactions
85 Replies
18K Views
Habari zenu wakuu Naomba nisiwachoshe kilichonileta hapa mbele yenu nikuwajuza uwepo wa hawa waganga feki wanaolazimisha wateja kwanguvu. Muda simrefu nimepokea sms kutoka kwa anaye jiita babu...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…