Je, sheria ya hotel levy kwenye nyumba za wageni bado ipo?

eddndk

Member
Dec 12, 2013
42
16
Wakuu na wanasheria mlioko humu naomba msaada kuuliza hivi sheria ya hotel levy kwenye magest bado ipo? Mbona kama nilisikia mwaka jana(2017) bungeni ilifutwa na serikali.

Sheria alikuwa inataka kila mwenye guest house alipa asilimia 10% ya mapato ya kila mwezi na kuyawasilisha halmashauri au manispaa.
Msaada tafadhali.
 
Aiseee, mimi mwenyewe nilisikia hivyo, sasa siku naenda kukata leseni mpya yaliyonikuta ni majuto, deni na penati zake, na kwa sasa ikifika tarehe 7 hauajalipa faini pekee sh laki 2 kwa mwezi, manispaa ya ubungo
 
Aiseee, mimi mwenyewe nilisikia hivyo, sasa siku naenda kukata lisen mpya yaliyonikuta ni majuto, deni na penati zake, na kwa sasa ikifika tarehe 7 hauajalipa fain pekee sh laki 2 kwa mwezi, manispaa ya ubungo
Wafanyabiashara wengi huchukua stori vijiweni bila kufanya utatifiti hizo stori. Pia wengi wanachukulia mambo juu juu.
Bajeti 2017/2018
  • Kilichofanyika ni kuwa mwanzo kulikuwa Wafanyabiashara wa nyumba za kulala wageni walikuwa wanalipia Hotel levy na service levy.
  • Kupitia Bajeti ya 2017/2018 waziri amewatolea Service levy kwa wamiliki nyumba za kulala wageni tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom