Usiku wezi wamezidi kuruka ukuta, nipeni ujanja

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
744
Kama mada inavojieleza

Kama umeshawahi kuibiwa basi unauchungu kwa kua mada hii inakukumbusha property zako/zenu.

Hali imekua ngumu mtaani kiasi cha kua wezi wamezidi ujasiri wanarudi mara kwa mara, mwaka huu tunaunza vibaya sana, hivi karibuni wamesharuka ukuta hapa home mara mbili na wamekwapua mara moja, ilibakia kidogo tuwashike lakini walishtuka mapema.

Mwenye mbinu asogeze hapa nizfanyie kazi.

Karbuni
 
Mpm mshana jr mkuu akutatulie tatizo fasta na mrejesho utajakutoa huku
1. Atege live wire sehemu wanaporukia, chini aweke vitu vinavyokamata umeme kisha aviunge na wire kiaina
2. Amwage upupuu kwenye mapito yao wakisharuka ukuta
3. Aweke mtego wa kidumu cha tindikali karibu na dirishani, wakijitusu tu imewamwagikia yote...
4. Aonane na mtaalam wa kumtengenezea tego la kumnasa na kumgandisha mwizi/wezi
 
Aweke chini ya ukuta kwenye board afu azime Umeme
Au kama nyumba ni yake aweke waya ya Umeme maana gharama zake si kubwa sana
Sawaa baba wa sekeretare
 
Hiyo ya tego iliyopendekezwa na mkuu Mshana inaweza kuwa nzuri kama gharama yake siyo kubwa sana. Vipi hayo matego huwa yana gerentii ya muda gani?
 
Miezi sita mpaka mwaka renewable
 
Fu
Kama mada inavujieleza

Kama umeshawahi kuibiwa basi unauchungu kwa kua mada hii inakukumbusha property zako/zenu.

Hali imekua kua ngumu kiasi cha kua wezi wamezidi ujasiri wanarudi mara kwa mara, mwaka huu tunaunza vibaya sana, hivi karibuni wamesharuka ukuta hapa home mara mbili na wamekwapua mara moja, ilibakia kidogo tuwashike lakini walishtuka mapema.

Mwenye mbinu asogeze hapa nizfanyie kazi.

Karbuni
Fuga mbwa
 
1. Atege live wire sehemu wanaporukia, chini aweke vitu vinavyokamata umeme kisha aviunge na wire kiaina
2. Amwage upupuu kwenye mapito yao wakisharuka ukuta
3. Aweke mtego wa kidumu cha tindikali karibu na dirishani, wakijitusu tu imewamwagikia yote...
4. Aonane na mtaalam wa kumtengenezea tego la kumnasa na kumgandisha mwizi/wezi
Huwezi kumtega binadamu kama unatega mtego Wa panya; wezi wengi ni mafundi Umeme na geti, wanatembea na TESTER , Jack n.k wanajua kitu, angalau ungemshauri Afuge Mbwa au aaijili Mlinzi Full stop, zaidi ya hapo aondoe vitamanishi avifungie ndani!
 
hizi njia noma!
 
Nimeandika options NNE BTW waya huweki kiboyaboya tu... Hata hao mbwa wanapewa nyama wakigoma wanapewa chumvi ama pilipili ya unga.. Wezi sio maboya unatakiwa kwenda nao sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom