Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Exim Bank Tanzania imeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika mageuzi ya sekta ya elimu nchini kwa kufanya mazungumzo na Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia. Kikao hicho...
1 Reactions
2 Replies
109 Views
Wakuu, Leo ni siku ya workers day duniani. Tujikumbushe Mimi nilivyokuwa Sekondari kwenye shule moja maarufu hapa Dar nilitamani sana kuwa "Lecturer" pale Creative Arts UDSM Nilikuwa namuonaga...
1 Reactions
6 Replies
211 Views
Sisi wananchi wa Tarime tunapata shida sana kutumia barabara inayotoka Tarime Mjini kuelekea Kata ya Magena ambapo kuna shule, hospitali na Uwanja wa Ndege kutokana na ubovu wa barabara hiyo...
1 Reactions
2 Replies
152 Views
Wakuu mulewapanga! Nilimsikiliza waziri wetu wa Wizara ya Habari Sanaa Michezo na Utamaduni, Mh Paul Christian Makonda akielezea kuhusu baadhi ya taarifa au habari kuwa ni za ukakasi kwa jamii...
2 Reactions
1 Replies
119 Views
Hii ni Wilayani Mubende nchini Uganda. Pastor Kwanza kachezea Mbunye na Filimbi ndogo kisha aliporidhika kaamua kuibuka na Vuzi refu hilo kama Ushuhuda tukuka.
4 Reactions
6 Replies
270 Views
Habari wana jf, kuna tatizo kubwa hasa kwa mitandao ya simu usipo tumia line yako ya simu kwa muda flan anapewa mtu mwingne Kwa sababu namba yako ya simu si namba tu tena. Imeunganishwa na...
1 Reactions
4 Replies
198 Views
Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Rudewa iliyopo Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro aliyefahamika kwa jina la Athuman Salum (16) amefariki Dunia baada ya kuliwa na mamba katika Mto...
2 Reactions
8 Replies
307 Views
Wafu kufufuliwa au kutofufuliwa kulingana na maandiko Katika kitabu cha Ayubu 14:12 tunasoma kuwa wafu hawafufuliwi. Katika kitabu cha 1Wakorintho 15:51 tunaona biblia inasema wafu watafufuliwa...
3 Reactions
15 Replies
278 Views
SIGIL YA MAMMON; FUNGUA NJIA YA MAFANIKIO NA UTAJIRI KWA KUTUMIA SIGIL YA MARMON. Najua wengi wetu tunapenda Pesa na mafanikio, Tunapenda kumiliki mali (Material gain) basi katika pita pita...
4 Reactions
46 Replies
10K Views
Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo Naomba tuambiane Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake Kioo kwishnaaa Winoo. Hioo Samsung a03 Sijui sh ngapi...
2 Reactions
5 Replies
519 Views
ANGALIZO Baada ya Kuugua sana Wiki iliyopita hali iliyopelekea Kulazwa Hospitalini na kurudi Kwake Mabwepande, hatimaye Chawa wa Rais Samia, Mzee Butiku kaamua kukimbilia nchini Uganda kwa Rafiki...
11 Reactions
23 Replies
779 Views
ecg Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk. Sasa katika...
10 Reactions
43 Replies
645 Views
Hiyo picha ni prompt ambayo unaweza kuitumia, kama upo chuo au una kijana wako anatarajia kwenda chuo. au unatarajia kuwa na kijana ambae atafika chuo. Actually prompt hii imenisaidia kuweza ki...
3 Reactions
9 Replies
255 Views
Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu. Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili . Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu...
1 Reactions
8 Replies
215 Views
Dodoma, Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuandika historia mpya katika sekta ya ardhi kwa kuhakikisha migogoro...
2 Reactions
8 Replies
368 Views
Habari Wandugu iko Hivi Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae...
7 Reactions
48 Replies
979 Views
Kuna mikoa ingepewa hadhi ya kuwa nchi ndogo kama Zanzibar ndani ya Muungano ingekuwa mbali sana. Je unauona mkoa gani na kwa sababu zipi Kwa mtazamamo wangu nahisi mikoa hii ingekuwa mbali sana...
3 Reactions
8 Replies
244 Views
Anonymous (c258)
Mimi ni mdau wa JamiiForums naishi Zanzibar Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B wadi ya Dimani Mombasa. Kero yangu ni kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi...
3 Reactions
3 Replies
150 Views
Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ? Hii huduma raia...
8 Reactions
17 Replies
692 Views
Wakuu, akili imezima Wapangaji hawalipi na niko mbali
14 Reactions
122 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…