Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninavodhani kwa dhati kabisa ni kwamba hatuwezi kuwa na maendeleo ya viwanda kama bado hatujaboresha miundo mbinu ya uchukuzi, hii inahusisha barabara za mijini na vijijini, reli mijini na...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
What is so special about mwaka Mpya? Tangu nikue na niwe na akili timamu nimeona shamrashamra nyingi kuhusu kupokea mwaka mpya kwa maana ya namba kuongezeka tangia nikiwa na akili timamu. Enzi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Poll Poll
A.ITV B.TBC C Azam tv D.Channel 10 E.Star tv F.Clouds tv Wadau,na sisi kupitia mtandao wetu huu wa JamiiForums, si vibaya tukafanya tathimini ya namna vituo tajwa hapa juu vinavyoripoti kwa usawa...
3 Reactions
101 Replies
8K Views
Habari za mwaka mpya wakuu. Nahitaji shuka la kimasai lenye rangi hiyo hapo chini kwa ajili ya matumizi ya sare ya shule kwa mwanangu. Leo nimezunguka sana Kariakoo bila mafanikio. Kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wengi wetu tunafahamu wakazi wengi hasa kule kunakopikwa sana mbege wanamiguu miembamba, hasa kina dada. Utafiti Mdogo nilioufanya, wadada wengi waliozaliwa huko kwenye mbege na wakaitumia mbege...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kilwa ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Christopher Ngubiagai pamoja na waandishi wa habari akiwemo wa kituo cha Channel ten mkoani Lindi, Abdulaziz Ahmed...
7 Reactions
58 Replies
7K Views
Heri ya mwaka mpya wanajamvi. Nahitaji msaada wa kisheria na kielimu ili niweze kufikia ndoto zangu. Mimi ni mwanafunzi wa kitivo cha elimu chuo kikuu SAUT mwanza compus. Nikisoma Bacheral of Arts...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Habari Ndugu zangu...... Kwa jina naitwa David Mwakisese ni mzaliwa wa Mbeya ila nipo dar kimaisha umri wangu ni miaka 40 nmeamuwa kwa hiyari yangu kushare nanyi jambo hili lilonitokea maishani...
50 Reactions
114 Replies
14K Views
With regards to the Public Holidays Act ,(CAP 35 R.E 2002 ) of the Laws of Tanzania and the rules made thereunder, and in commemoration of the New year festival, to be observed today 1/1/2018. I...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Tundu Lissu Anatutakia Kheri Ya Mwaka Mpya
1 Reactions
5 Replies
857 Views
Uko usemi "mwenye nacho huongezewa, bali asiyenacho hata kile kidogo alichonacho huenda akanyang'anywa". Ni kweli kabisa, Uko uhusiano mkubwa wa hali ya kiuchumi wa mtu na Background ya familia...
22 Reactions
71 Replies
8K Views
This is very interesting...!!! Rc Gambo, katokwa povu, Polepole naye povu, jamaa wa jumuiya ya wazazi naye povu, tena mpk analeta vifungu vya biblia..!! Daaah...!!! Nimegundua wanaotakiwa kutubu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
ZABURI-64 1. Mungu , uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu.; unilinde uhai wangu na hofu ya adui. 2. Utanificha mbali na shauri la siri la watenda mabaya, mbali na ghasia ya watu wafanyao...
1 Reactions
1 Replies
866 Views
Binafisi kuna jambo huwa linanisumbua sana na mda mwngn kwangu naona kama lina ukweli ndani yake Kipindi nasoma 0 level kulikuwepo na mwalimu mmoja hivi ambaye aliaminika sana ktk masomo ya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Muziki wetu wa Bongo Fleva unazidi kwenda juu siku hadi siku mpaka soko la Afrika Mashariki tumefanikiwa kuliteka.Ni vigumu kwa msanii wa kutoka nchi jirani za E.Africa kuja kupiga show hapa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kihistoria kweli leo ni mwaka mpya ambao ulimwengu mzima wanalitambua hilo, Wenye akili wanareview mikakati na kufanya evaluation kwa mwaka mzima wamefanya nn kinacho weza kuwainua na kuwaleta...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Simba wapenzi wa jinsia moja wapigwa picha katika mbunga ya wanyama pori ya Masai Mara KenyaHaki miliki ya pichaTWITTER/GOLDSTEIN Image caption Simba wapenzi wa jinsia moja wapigwa picha katika...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
sorry na majukumu wakuu wangu napenda kuuliza vazi rasmi la kazi kwa nurses wa degree yan NO wa kiume na wakike tafathali
0 Reactions
0 Replies
678 Views
hello Jf Ni fursa nyingine tena tumepewa ili tuishi kwa faida hapa duniani, hili ni jema kw Mungu na hata kwa wanadamu. Natambua zinaweza kuweko sababu mbalimbali tunazoweza kujustfy-kwa nini...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…