Bongo Fleva inazidi kupaaa......

Bongo Fleva inazidi kupaaa......

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,657
Muziki wetu wa Bongo Fleva unazidi kwenda juu siku hadi siku mpaka soko la Afrika Mashariki tumefanikiwa kuliteka.Ni vigumu kwa msanii wa kutoka nchi jirani za E.Africa kuja kupiga show hapa Tanzania.Jana tumeona jinsi tunavokubalika kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki.Saida Karoli amefanya kufuru huko Uganda.Vanesaa Mdee na Rayvanny wamekiwasha Mombasa,Ali Kiba amewakilisha pande za Rwanda,Rich Mavoko katikisa Nairobi,na Diamond Platnumz kaizima Naivasha.Mungu Ibariki Tanzania..
 
Inapendeza. Wenzao BONGO MOVIE walikotumbukia shimo linazidi kuwa refu sijui kama wataweza kutoka tena
 
Back
Top Bottom