Eng.Dullah
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 372
- 304
Binafisi kuna jambo huwa linanisumbua sana na mda mwngn kwangu naona kama lina ukweli ndani yake
Kipindi nasoma 0 level kulikuwepo na mwalimu mmoja hivi ambaye aliaminika sana ktk masomo ya chemistry na biology na ni mwalimu ambaye walimutumia sana katika kutengeneza solution( Acid $ Base) katika mtihani ya kumalza kimkoa( japo hii inaweza ikawa si hoja just background tu)
Sasa shida inakuja ktk kauli yake ambayo aliitumia sanaa kwamba KAMA UMEPANGIWA KUFA NA UKIMWI UTAKUFA NAO TU HATA KAMA UTAKUWA MWEMA VIPI AU CHOCHOTE ULICHOPANGIWA UWEZI EPUKA KAMWE.
Mfano aliokuwa akiutumia ni kwamba chaguaneni watu wiwili tofaut na fanyeni hatar sawaa au kwa lugha nyngn n kwamba tabia zenu ziwe sawaa starehe, mademu wale wale mnachangia na nk afu uone km vifo vyao vitakuwa sawaa.
Binafsi nmechunguza sanaa huu mwaka wa7. Muda mwngn nauna ni uongo ila asilimia kubwa naelekea kumwamini kutokana na simulzi za watu tofaut na shuhuda.mf.kuna watu naona ni malaya balaa ila kila wakipima wapo salama na miaka yote wapo mtaani ila kuna mtu ajawah ila anapoupata huu ugojwa yaan uwez amini only mistake ndogo sana.
Najua siyo wote watakaoelew nini namanisha ila nachoamini ni kwamba kuna watu wanafikiria zaidi yangu na tunaweza kusaidiana mawazo au kunisahhsha. Nahtaji mawazo positive na negative yatanisaidia pia