UHURU WA MDOMO NA MACHO

UHURU WA MDOMO NA MACHO

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Kihistoria kweli leo ni mwaka mpya ambao ulimwengu mzima wanalitambua hilo, Wenye akili wanareview mikakati na kufanya evaluation kwa mwaka mzima wamefanya nn kinacho weza kuwainua na kuwaleta maendeleo.

La kuskitisha zaidi historically kutokana na uchunguzi ulofanywa na Robin Proety wa marekani 1961 ktk nch zinazopenda sana kushekea sikuu ya mwaka mpya 75% ni Under developed Countries (Afrcan countries) na Tanzania ni nchi ya kwanza ktk kutumia pesa nyng kwa jl ya kusherekea mwaka mpya. Inaniuma sana.... Kila ifikapo tarehe 1.1 kwa kla mwaka Marekani na Uingera hukutana na kujadili nn wamekichukua Afrca na nn kmebaki na watakichukua lin kwa mwaka mzma.Mda huo mtanzania mwenzangu kashachinja mbuzi na kuna dumu la gongo pembeni tayar kwa kufurahia mwaka kwa yy kua MTUMWA aliye huru.

1973 Mwanamapinduzi ya kweli malcom x ktk hutuba yake kwa watu weusi New Yourk alisema "Hakuna kiumbe mjinga dunian ambae amewekwa chini ya utawala wa mabavu na analitambua hilo huku watawala wakicheza ngoma na kuburudika juu ya mgongo wake asisikie maumivu na wala asijigeuze "" . Hivyo hvyo baadhi ya nchi za Africa tukiwemo watanzania hatujigeuzi bali tuna sherekea na na kufurahia.
Lakin sio hvo nasikitika kumwona mtanzania mwenzangu anaspend 200000 aliyo itafuta kwa mda msio chini ya miezi 41/2 ndan ya ck moja ya siku kuu lkn badala ya hapo mtanzania mwenye kipato cha chn kabsa kwa ck yy anatumia sh 1500 huku akiwa bado ana den ambalo taifa lake linadaiwa na anatakiwa kulipa la sh 120000 kwa mwezi.

Deni hili lnalipwa hata mtoto ambae bado yupo tumboni.
Tuna raha gan sisi waafrica, wakati mbwa wa Sputon John wa marekan anatumia Tsh1600000 kwa siku ww una tumia buku na jero(1500) unajiona umespend!!!!!! Shame up on we Afrcans. Hutuba ya fider castrol 1957 akiwa Cuba aliwaeleza Marekan " you cant exploit my country as the way your doing to other animals in those other blacks countries like in Tanzania".
lakini pia pind waAfrca tumelala wapo waafrca wenzetu ambao wana tusogezea blankert tuendelee kupumzka . Robert mgabe 1966 aliwah pga marufuku mtu kusherekea mwaka mpya mpaka kiumbe yeyote mwenye rangi nyeupe atoweke zimbabwe. Baada ya miaka 2 hakuna mzungu aliyenusa Zimbabwe.

Lakini pia Gaddaff 1983 alipga marufuku kwa mtu yyote kusherkea mwaka mpya mpaka kla raia awe na uwezo wa kumilik milion 5 za ktanzania kama akiba ya ndani mwaka ulofuata kila mlibia alikua kesha tekeleza hlo leo hii mtz anasherekea mwaka mpya ana akiba ya 3000 ya mboga ndani.
Malcus guvey 1932 aliwah sema ni "rahs na ni faida kubwa kumletea mapinduz ya kweli mnyama aishie msitun,Lkn n hasara na n kazi kubwa kumletea mapinduz mtumwa anaejielewa kua n mtumwa ila amejitolea kuendelea kua hvo."
Watanzania wenzangu ni mda sasa wa kukaa na kutafakari kua ss tupo wapi na tunafaidka nn na utajir wa nchi yetu kwan kipnd Eurpeans wanatadhimn na kuangalia n wapi madini yamebaki kwa kuuanza mwaka mtanzania wa kijijin anapanda mche wa mti au migomba ili mkolon apate pa kupumzka ajapo Tz kwa kaz yake. Inatosha sasa lazma watanzania wapate uhuru wa kweli by malcom x "mapinduz ya kweli yanaletwa na waathirika wa unyonyaji(1982.)
Nini Cha kufanya ?
Ni mda sasa wa Viongozi wa Africa na waafrica kiujumla kujivua kabisa utawala wa kikoloni, kuimarisha demcrasia, kutumia rasilimali zetu na Kuacha na siasa za mitandaoni na kujitolea kwa jili ya mataifa yetu ili kuleta uhuru wa kweli.

Siwez kuwatakia kher ya mwaka mpya kingali mm na ww bhado ni watumwa huru bali poleni kwa unyonywaji ndani ya mwaka 2017 na ingien kwenye utumwa wa mwaka 2018....
.......
 
Let me give you PIECES of ADVICE:

Firstly, when trying to explain about what you think is RIGHT consider DIVERSITY ..... Generalizing ALL of US (Africans or Tanzanians) like PUTTING ALL EGGS IN A SINGLE BASKET isn't FARE.... what's always in my thought can certainly be different from what you're pondering about .... my dreams may not necessarily be someone's .... so human beings are quite different like day and night ...

Secondly, as human beings, ALL of US, you and I and others .... we're obliged to say THANK YOU to the ALMIGHTY GOD for His ENDLESS LOVE & MERCY ....

Being ALIVE isn't because you're RICH or EDUCATED but only because HE'S MERCIFUL ...
So why don't you GIVE HIM THANKS for taking care of you for those twelve months?
 
Back
Top Bottom