Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dkt. Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za Lugumi, ametangaza atakuwa tayari kuoa endapo atapata mwanamke ambaye anamuhitaji. Amesema kuwa kwa sasa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Uvaaji wa miwani kwa viongozi. Sorry hapo kwenye tittle ni typing error. Habari waungwana Kuna kaswali huwa najiulizaga sana kiukweli. Hivi hii design ya kila kiongozi kuvaa miwani nini sababu...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
Haya maneno kwangu ni tafran yanapotamkwa; 1. Kabumbu 2. Kibuyu 3. Kitumbua 4. Tawazwa 5. Panua 6. Pachika 7. Ingiza 8. Kata/ katika 9. Binua 10. Tia
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kichwa Cha habar kinajielezea [emoji16][emoji16]
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba kueleweshwa kuhusu ADROID BOX TV
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Jamani eeeeee hatareeeeeee... Hizi ni zakunyapia nyapia kumbe makanisa ya kiroho yawatu binafsi aka mali za watumishi kumbe sadaka hazikai bank nakile tunakiona bank nikidunchu yakile wanacho kwa...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Dr Kimeo umekuwa katika nafasi hiyo kama Mkuu wa Benki ya CRDB kwa miaka 20 sasa na kazi yako imeonekana hapa nchini pamoja na changamoto nyingi katika sekta fedha na Banking. Lakini kuna baadhi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Miezi miwili baada ya kutoka Keko kwa Kosa LA ubadhirifu,alitoka kwa dhamana ya Milioni 200m yeye na mwenzake! Aliwai kuwa mkuu wa chuo cha uhasibu miaka mingi sanaaa! Inasemekana presha na hofu...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Kituo cha Nansio wilayani Ukerewe, John Kalongola amejinyonga kwa kipande cha chandarua nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mwili wa...
1 Reactions
122 Replies
14K Views
Familia moja ilikuwa nakiwanja kule kibonde maji imerudishiwa kiwanja chao na nyumba baada ya mtu alie jiita mwana familia jina Mushi kutaka kukidhulumu. Kiukweli ulikuwa mchakato mzito lakini...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa Mara ya kwanza Leo naabudu hapa FGBF kwa baba Askofu Kakobe. Nimewahi mbele ili nimuone vema baba Askofu akitoa ujumbe wake Leo na kutueleza yaliyijiri alivoitwa police na alivowajibu TRA...
42 Reactions
120 Replies
12K Views
Miye ni msomaji mzuri sana. Nimeshasoma maelfu ya vitabu,ila kati ya vitabu hivyo vipo ambavyo mpaka sasa najutia kuvisoma. Vitabu hivyo ni hivi hapa chini na waandishi wake: 1)Fyodor...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama ni kweli askofu Kakobe alisema ana hela zaidi ya serikali na akamaanisha hivyo, basi anaweza kufananishwa na yule aliyesema serikali yote ya rais Nyerere ilikuwa mfukoni mwake. Nyerere...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
jaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu uzi unaweza kuwa ndio mfupi kuliko yote hapa J.f kwa mwaka huu utadumu hapa kuanzia saa hizi mpaka saa 0000 usiku wa leo.Naomba wana j.f tupeane neno yaani namaanisha ujumbe wa kufungia mwaka...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Watu wa it naomba msaada wa kudownload movie mpya na zaman za kizungu nimejaribu sana kutafuta utorrent lkn nakosa link ambayo itanisaidia kuona movies ambazo ni free alafu nimetumia the piratebay...
2 Reactions
4 Replies
7K Views
Heshima zenu Wakuu....!!!!, Awali ya yote nianze kwa kushukuru MUNGU, kwa kutulinda Salama kwa Mwaka mzima. Ninasema Baba Asante kwa Huruma na Upendo wako usio na Kifani, aidha tunakuomba utulinde...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Heshima zenu Wakuu....!!!!, Awali ya yote nianze kwa kushukuru MUNGU, kwa kutulinda Salama kwa Mwaka mzima. Ninasema Baba Asante kwa Huruma na Upendo wako usio na Kifani, aidha tunakuomba utulinde...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Heshima zenu Wakuu....!!!!, Awali ya yote nianze kwa kushukuru MUNGU, kwa kutulinda Salama kwa Mwaka mzima. Ninasema Baba Asante kwa Huruma na Upendo wako usio na Kifani, aidha tunakuomba utulinde...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…