Uvaaji wa miwani kwa viongozi nini sababu?

Shedangio

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
448
Reaction score
170
Uvaaji wa miwani kwa viongozi.
Sorry hapo kwenye tittle ni typing error.

Habari waungwana

Kuna kaswali huwa najiulizaga sana kiukweli.

Hivi hii design ya kila kiongozi kuvaa miwani nini sababu haswa maana kila waziri ana miwani japo ni wachache ambao hawavai

Je unafikiri inaashiria usomi au wanapata matatizo ya macho au ni kick ya kutaka kuonekana ni watu wa aina tofauti?
Naomba tujadili kwa ustaarabu tupatemajibu sahihi.
 
Ngoja nimuulize mh. Nitarudi mkuu kukwambia sababu hasa ni nini!!!
IMG_20170417_220216.jpg
 
Kuna miwani flani INA ishu flani........ Acha watu wavae.unaitaka tukupe?
 
Yaqni takriban wabubge wote mawaziri wote wanataka kusemq wote macho yao mabovu?

Can't believe it.
 
Sina tatizo na wanaovaa miwani labda ya macho au mtu kuvaa daytime it's ok, tatizo langu hawa wasanii mpaka usiku wa manane au wakiona camera tu miwani mtakuja kujikwaa na kutoa meno. kwangu mimi kuvaa mpaka usiku ni kukosa kujiamini labda tu uvae miwani inayovaliwa day and night. utaona mtu usiku na giza lote bado kapiga miwani ya jua kwangu ushamba au hakuna kujiamini ili ukianza kuongea uongo usionekane. maana mtu akiwa anasema uongo muangalie macho tu utajuwa.
 
Nilikua na mawazo kama haya ila Luna sehemu tulikua tunafanya shughuli moja Jamaa amekula miwani nyeusi tii kama ya jua kumbe ndio inayomsaidia.
Ilibidi nimuulize maana sio kawaida kuona miwani ya macho kuwa na weusi ule.
Binadamu tuna matatizo mengi kwa wanaovaa kwa fashion huwa wanaharibu macho yao tu maana baada ya muda yataleta shida ila wengi ni kwa shida .
 
Iko miwani unaweza kuvaa hata usiku ila ina bei sana zaidi ya Million ya kibongo.
 
Umesema"uvaaji wa miwani kwa viongozi" hao wasanii umewatoa wapi Shedango?
Wasanii usiku wanajizuia na ule Mwanga mkali wa mataa na pia flash camera za kwenye simu zenu.
 
Sina tatizo na wanaovaa miwani labda ya macho au mtu kuvaa daytime it's ok, tatizo langu hawa wasanii mpaka usiku wa manane au wakiona camera tu miwani mtakuja kujikwaa na kutoa meno. kwangu mimi kuvaa mpaka usiku ni kukosa kujiamini labda tu uvae miwani inayovaliwa day and night. utaona mtu usiku na giza lote bado kapiga miwani ya jua kwangu ushamba au hakuna kujiamini ili ukianza kuongea uongo usionekane. maana mtu akiwa anasema uongo muangalie macho tu utajuwa.
Unatafuta ugomvi na muuza karanga
 
Nitaipata wapi nzuri na kwa shilling ngapi ya jua. Huwa mchana sioni vizuri natumia mkono kuweka kivuli nione
 
Huyu mbona anataka kuwa kama Slowslow....kijana sii kijana, mzee si mzee....
Picture1.png
 
Back
Top Bottom