Habari wadau wa JF
Kuna swala nimeona nilisogeze kidogo hapa,Jana (Ijumaa 29 Dec, 2017) Waziri wa fedha na mipango DR. Fillip Mpango alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mwenendo wa hali...
Kutokana na kauli ya Waziri wa fedha bwana mpango kwamba Watanzania wanaona vyuma vimekaza kwa sababu wanajihusisha na sekta ambayo ukuaji wake ni kidogo kidogo yaani sekta ambayo ukuaji wake...
miaka mingi sasa imepita toka 2011 nilianza kuperuzi na kusoma mada za jamiiforums lkn sasa nimeona nijiunge rasmi naona kunakamtindo ka kuwakaribisha watoto wa kike kwa shangwe mlume ndago hapa...
Mambo vp wadau hivi mtandao wa airtel una kifurushi cha sms? tu kama ilivyo kwenye voda yaan sh. 1500 sms bila kikomo mwezi mzima. na kama ipo kwa airtel naomba kujua namna ya kununua
.
Asalam waleykum, bwana yesu asifiwe na tumsifu yesu Kristo ndugu zangu leo nimeona nianze kwa kuwasalimu mkiwa mnajiandaa kuagana na mwaka 2017 na mkiwa tayari kuupokea mwaka 2018 leo...
Nape ameamua kuwasha moto wa kufungia mwaka 2017 baada ya kuandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa nguvu haiwezi kuwa chanzo cha amani popote Duniani ujumbe uliombatana na picha ya kunyongwa...
Kampuni hiyo imesema gharama zake zilizonukuliwa kutoka TCRA zimejumuisha kodi ya ongezeko la thamani (Vat) ambayo kwa kampuni nyingine washindani hazijawekwa.
Dar es Salaam. Baada ya taarifa ya...
HAKUNA HUDUMA--- Mkazi wa Kigoma Ujiji akipita katika sehemu ya vibanda vipatavyo 1,000 vilivyofungwa juzi na halmashauri ya manispaa baada ya wafanyabiasha kushindwa kulipa tozo mpya ya Sh50,000...
Habar za jioni wana jf wenzangu
Natumaini ni wazima wa afya njema
Nilikuwa na mpenzi Wang ila tuliachana kama miaka mitatu iliyopita baada ya yeye kuamua kuolewa na bwana mwingine
Baada ya...
Mnazi mmoja sio Salama kwa mkesha wa mwaka mpya, Nendeni Uwanja wa Uhuru"
Mchana huu Kamati ya maandalizi ya wanajiita Crossover Night & Anointing Service ya KINAIJERIA, waliokuwa wametangaza...
Nionavyo mimi, ni muhimu sana kutubu ili hata tukikuombea, sala zetu zitafika vizuri. Ila kushauriwa kutubu badala ya kukubali na kupokea ushauri,mnaanza kututisha. Daaah..!!!
Serikali imebainisha kuwa pato la taifa kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2017 imeshuka na kusababisha taifa kumaliza na wastani wa ukuaji wa uchumi kwa asilimia 6.8 ikilinganishwa na asilimia ukuaji wa...
Watu Vijijini wapo bize mwaka mzima wanalisha mbuzi na ng'ombe majani na wewe upo mjini mwaka mzima unalisha mademu chips kuku na bugger halafu mwisho wa mwaka unarudi bush unataka kuchinja mbuzi...
Mzuqa wanajf
We are ending the year in style. Kwaanzia Makinikia, expanshen joint. Tumedhihirishiwa kabisa watu wataalam wa kukariri wanafosi Hadi PhD wanapata. Imetukatisha Hadi tamaa wengi wetu...
Mara zote tumekuwa ni watu wa kubishana tu pengine bila uelekeo kamili nje ya milengo ya kisiasa na tukumbuke elimu ya uraia inazidi kuongezeka kwa wananchi kadili upinzani unavozidi kukuwa...