Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SIKIA SAUTI YA MUNGU Ufunuo wa Yohana 22 : 17 - Na Roho na Bibi-arusi wasema, Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure. Bwana...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Baada ya umeme kukatika, nesi huyu aliamua kutumia simu yake ya Tochi, kwa kuing'ata mdomoni ili kutafuta (vein access) mshipa wa damu kwa kitoto kichanga cha siku mbili, ili kipewe dawa na kuokoa...
3 Reactions
3 Replies
719 Views
Serikali inajinasibu kulipa madeni yote ya wastaafu kiasi cha shilingi trillion 1.3. Leo hii katika mkutano wa walimu Dodoma raisi Magufuli amerudia kuwa wamekwisha lipa. Mbona viongozi wa PPF...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wakuu. naombeni mwongozo nihamie wapi maana hawa jamaa wanamwendo mdogo zaidi ya ule wa kinyonga mchana kutwa unaweza kishinda bila kufanya kazi kabisa wanaudhi hawa sio kidogo.
0 Reactions
6 Replies
974 Views
Nmepat kipeperushi cha hawa watu natuma picha mnieleweshe ukweli au wanatania wanakujengea Nyumba kwa gharama zao we unalipa kila siku kwa miaka10 unawaonyesha tu kiwanja au kama huna...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimesoma kila mahali na kuona kuna watu wanatamani sana upinzani ufe. Hapana hawa watakuwa hawajui dhana ya upinzani. Upinzani siyo kikundi cha watu ambacho unaweza kukisambalatisha kwa mabomu...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo, bila kupoteza muda wala manjonjo naenda kwenye mada. Kipindi fulani miaka ya nyuma nilikua nikisikia sana kwamba kuna namna ambayo mtu anaweza kupata nishati ya...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakala wa kudhibiti ubora wa mbegu nchini, TOSCI umeyafunga maduka zaidi ya 20 katika mikoa ya Mbeya na Songwe baada ya kubaini kuwa maduka hayo hayajasajiliwa wala kufuata taratibu za kisheria za...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwanza. Naibu Waziri wa Uvuvi, Abdalla Ulega, leo Ijumaa amefanya ziara ya kushtukiza katika soko la kimataifa la samaki la Kirumba jijini Mwanza na kukamata tani 11 za samaki waliokuwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Zaidi ya ya dola za Marekani Milioni 300 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa kilomita 210 za barabara kwa kiwango cha lami katika Manispaa za jiji la Dar es Salam lengo ikiwa ni kuboresha...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi wadau, Eti ukiwa unaishi na kufanya kazi za serikali au binafsi nyumbani kwenu hutafanikiwa kamwe ni kweli? Watu wengi wana mtazamo huo je wengi wape au kuna mwenye hoja tofauti na hilo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani nahitaji mwenye scania yenye uwezo kubeba viazi vipeto 215 kutoka njombe kwenda dar leo jumatano.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais, Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT, wakati Rais anafungua tawi la bank ya CRDB makao makuu ya nchi Dodoma alisema ni marufuku kufanya malipo kwa hela ya Dola hapa nchini, lakini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania inaongeza maradufu idadi ya panya buku wanaotumika kuutambua ugonjwa wa kifua kikuua. Panya hao hupewa mafunzo na wana uwezo wa kunusa kamasi za binaadamu na kutambua kwa haraka ugonjwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Kikosi cha TAZARA Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi Patrick Byatao akikagua gwaride wakati wa hafla fupi ya kuwatunuku askari waliofanya vizuri kwa mwaka 2017 katika kikosi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakati tunasheherekea U-Dart, wenzetu Ulaya na Marekani wanazidi kupiga maendeleo na kusaidia kupunguza moshi usiendelee kuharibu Ozone layer... Haya ni mabasi yanajiendesha kwa watu kupiga...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Miaka hiyo sisi tuliozaliwa mjini tulikuwa tunapata shida sana na watu wa mkoani. Wakifika Dar Kuna maeneo Matatu itabidi uwapeleke. 1. Uwapeleke soko la Kariakoo 2. Uwapeleke Ferry wakashangae...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
siko hapa kwa ajili ya kumchafua mtu au lah na wala siko hapa kwa ajili ya chuki binafsi ila niko hapa tu kutoa ya moyoni kwani baadhi ya watanzania kisa kilichonitokea wiki iliyopita nilikwenda...
7 Reactions
89 Replies
40K Views
Watu tisa wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro wakikabiliwa na shitaka la kumkata mkono albino, Nassoro Mohamed kisha kutoweka na mkono huo. Morogoro. Watu tisa...
1 Reactions
1 Replies
832 Views
Habari ndugu; Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wabunge wengi wa upinzani toka Ukawa na pengine ambao wanahamia chama cha Mapinduzi CCM. Wengi wamekuwa na mawazo mengi juu ya hali hii na kuhusisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…