Ukuwaji wa Teknolojia: Kutana na Bike Buses

Ukuwaji wa Teknolojia: Kutana na Bike Buses

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
463
Reaction score
649
Wakati tunasheherekea U-Dart, wenzetu Ulaya na Marekani wanazidi kupiga maendeleo na kusaidia kupunguza moshi usiendelee kuharibu Ozone layer...
Haya ni mabasi yanajiendesha kwa watu kupiga pedeli...
Hatari kabisa...

outside-back-angle_28F0E6AC-9D92-450A-A847DA9C24250A26_d8b77ca6-f499-4cb4-a0f49e0a176720a3.jpg
Off-The-Chain.jpg
imagesooo.jpg
cct-bikebrew-0918-14.jpg
images00.jpg
nnn.jpg
index.jpg
imagesmm.jpg


Sactown Bike Bus is a fun, safe and eco-friendly pedal-powered chartered transportation service operating socially interactive tour experiences on a customized fifteen-passenger bike bus. Highlighting the local sights, historical landmarks, restaurants and entertainment venues of Sacramento, participants shall be prepared for our team to amuse, excite, and delight passengers every day and every night.
 
Hiyo ya kwenye pic ya kwanza nimeielewa kama unajua bei yake ni sh ngapi kama hyo mkuu,
 
Nzuri,itapunguza vitambi na kuokoa gharama na muda wa kwenda gym kufanya mazoezi
 
Hizo basi zitatufaa kwetu usukumani maani sie kwa kupiga pedel hatuna mpinzani
 
Ukiwa peke yako inamaana mzigo hautembei inabidi ulikokote! :smile:
 
Barabara zetu siyo rafiki kabisa.
Milima na mabonde tutakuokoteni bonde la mpunga au mlima kitonga.

Ila wao hii wanafanya for funny kwa sababu wanazo treni za umeme , magari wameanza majaribio hadi ndege za umeme wa jua (solar panels). Kwa hiyo , bado wanasogea juu zaidi.

Japo ni hatua nzuri kwa ozone layer isiharibike pia mazoezi ya viungo/ kupunguza unene / uzito.
 
Kobe ileeeeeee

Heci ,
Gari zuri sana hilo.

Kobe - Volkswagen 181 (1960s-1980s - kurierwagen au trekkers ama thing au safari ).

Japo sasa wana matoleo hadi ya 2008-2017 Volkswagen CC.
Ila safi Sana
 
Abiria wote Lazima mkanyage pedeli,hapo kuna
Kulipa nauli kweli

Ova
hakuna nauli hapo, ukifika safari yako unashuka, unawaacha waendelee, bomba sana, nimeipenda hii..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom