Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 492
Labda ni ushamba wangu. Mimi najua kituo kimoja tu cha pale faya Kariakoo.
Mimi najua chapili kipo Temeke Mikoroshini nyuma ya Tazara kwa ndani pale (Vya serikali lakini).Labda ni ushamba wangu. Mimi najua kituo kimoja tu cha pale faya Kariakoo.![]()
Labda ni ushamba wangu. Mimi najua kituo kimoja tu cha pale faya Kariakoo.![]()
Vipo 4...Labda ni ushamba wangu. Mimi najua kituo kimoja tu cha pale faya Kariakoo.![]()
Vipo 4...
1.mkoa wa kinondoni- lugalo jeshini
2.mkoa wa ilala.- njia panda muhimbili
3.mkoa wa temeke- mchicha
4.mkoa wa kigamboni-kigamboni
Iko Africa?Ni vichache sana Kuna nchi niliishi kila kitongoji Kuna Zima moto