Kikosi cha doria na udhibiti wa uvuvi haramu katika mkoa wa Kagera kimeendesha operesheni ya kushtukiza ndani ya Ziwa Victoria iliyokuwa na lengo la kupambana na vitendo vya uvuvi haramu na...
Laiti tungekuwa tunaishi milele hapa Duniani, Hata Mimi ningelazimisha kuwa Na madaraka Ashukuliwe Mungu muumba anayeweza kubadilisha majina ya walio hai wakaitwa Marehemu hatuna mji udumuo...
Licha ya Tanzania kuwa na mfumo wa Serikali za Mitaa, inaelezwa kuwa mifumo hiyo haifanyi kazi kwa uwazi jambo linalozuia umiliki wa wananchi juu ya matumizi na uendelezaji wa rasilimali zao...
Habari Zenu wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Mimi ni kijana Mtanzania nimepata tatizo la kupotelewa na cheti cha kuzaliwa. Ninaomba msaada ushauri au namna ya kuweza...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema uchakavu wa Zahanati ya Kata ya Bujonde iliyopo Wilaya ya Kyela umetokana na uzembe wa halmashauri.
Ummy...
Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi,
Natafuta shule ya dogo aliyezaliwa mwaka 2000 ambaye ni mjeuri, aliacha shule hajui kusoma wala kuandika [emoji10],
sasa kakumbuka shule.
Mwenye...
KWA UVCCM IMARA, MCHAGUE KHERI DENICE JAMES.
Kwa muda mrefu utendaji kazi wa Jumuiya ya umoja wa vijana CCM (UVCCM) haijaweza ama kufanikiwa kugusa matarajio ya vijana wengi nchini hususani...
Kuna waajiri huwa wanatoa sharti la kwamba muombaji alete nyaraka za mshahara aliokuwa anapokea kwa mwajiri wake wa mwisho. Binafsi hii kitu huwa inanishangaza. Mshahara wa mtu alikotoka mwajiri...
Wananchi tunekosa chama cha kutuwakilisha sisi katika siasa za Tz.Hawa waliopo wanaojiita wapinzani wanalialia sana kila siku oo tumeonewa,tumeibiwa kura na mwisho wanasusa Susa hovyo natoa wito...
Kabla ya uchaguzi wa Zitto alikaririwa akisema CCM imeandaa wapiga kura hewa takkribani 2000. Leo Zitto huyohuyo aliyedai CCM imeandaa wapiga kura 2000, anadai kuwa wapiga kura wameamua hivyo nao...
Habari za mida wana JF wenzangu?
Naomba kama kuna Member hapa jamvini anayeishi katika nchi tajwa hapo juu,tuwasiliane kwa PM tafadhali,
Kuna jambo namba kushirikiana nae japo hata kwa ushauri...
Wakuu heshima zenu!
Mimi ninayeandika Haya naomba kudeclare interest kwamba pia ni Mtumishi wa Serikali yetu. Kinachonisikitisha, ni namna Watu mbalimbali wanavyotoa Kauli za Kuwadharau...
Maelezo ya habari hiyo ni kwamba Novemba 15, baada ya Mugabe kuwekwa kuzuizini na jeshi la nchi hiyo ndani ya makazi yake, alimwaga machozi kumkumbuka Sally na mtoto wao aliyeishi duniani miaka...
Mikoa niliyoitaja hapo imekuwa na matatizo sugu yanayohitaji kiongozi jasiri mwenye uzoefu kama vile RC Makonda.
Matatizo yaliyoko katika mikoa hiyo ni pamoja KILIMO cha bangi, uvamizi wa hifadhi...
WATU milioni saba hufariki dunia kila mwaka kutokana na matumizi ya bidhaa zitokanazo na tumbaku hususan uvutaji sigara, imeelezwa.
Takwimu hizo ni matokeo ya utafiti wa Shirika la Afya Duniani...
Katika mradi wa Kawe' wa NHC' 711 ambao unajengwa na kampuni ya ESTIM" huyu raia wa kigeni kutoka India jina lake ni Bipin Vekariya'
Huyu muhindi amekua akitoa aina ya maneno ya kashfa juu ya...