Mkuu wa wilaya ya Kinondoni hili ni eneo lako kiutawala

kallys

Member
Aug 8, 2016
74
52
Katika mradi wa Kawe' wa NHC' 711 ambao unajengwa na kampuni ya ESTIM" huyu raia wa kigeni kutoka India jina lake ni Bipin Vekariya'

Huyu muhindi amekua akitoa aina ya maneno ya kashfa juu ya serikali "kimaadili sitayaandika" akidai kua serikali hatoi fungu la pesa za kutosha katika kuendeleza huo mradi'.

Huyu anastahili achukuliwe hatua za kinidham' na apimwe vigezo kama kweli hiyo kazi anayoifanya ya umeme' hakuna kweli mtanzania anaeweza kuifanya" mpaka atoe hizo kashfa".
 
Mleta uzi acha kunywa mataputapu. kama huna ushahidi keep your mouth shut.

Issue Nyingi za Serikali pesa haitoki kizembe this days hadi uhakiki ufanyike yale mambo yenu ya zamani Mouse ya computer mnaiuzia Serikali kwa bei ya laki moja hayapo tena so huyo Mhindi muache atapetape ndio anatoa machungu yake ya kukosa cha juu na team yake
 
Aisee' Mlaleo inaonekana wewe ndio umekunywa mataputapu maana sijui unapingana na mimi au unaungana na mimi"
 
katika mradi wa KAWE' wa NHC' 711 ambao unajengwa na kampuni ya ESTIM" huyu raia wa kigeni kutoka INDIA jina lake ni BIPIN VEKARIYA'

huyu muhindi amekua akitoa aina ya maneno ya kashfa juu ya serikali' "kimaadili sitayaandika" akidai kua serikali hatoi fungu la pesa za kutosha katika kuendeleza huo mradi'

huyu anastahili achukuliwe hatua za kinidham' na apimwe vigezo kama kweli hiyo kazi anayoifanya ya umeme' hakuna kweli mtanzaia anaeweza kuifanya" mpaka atoe hizo kashfa"

Kamsemehe kwa Makonda
 
Katika mradi wa Kawe' wa NHC' 711 ambao unajengwa na kampuni ya ESTIM" huyu raia wa kigeni kutoka India jina lake ni Bipin Vekariya'

Huyu muhindi amekua akitoa aina ya maneno ya kashfa juu ya serikali "kimaadili sitayaandika" akidai kua serikali hatoi fungu la pesa za kutosha katika kuendeleza huo mradi'.

Huyu anastahili achukuliwe hatua za kinidham' na apimwe vigezo kama kweli hiyo kazi anayoifanya ya umeme' hakuna kweli mtanzania anaeweza kuifanya" mpaka atoe hizo kashfa".
Mpigie simu juma pondamali atakusaidia hilo
 
Back
Top Bottom