Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

Wadau mnao subiria salary booking zianze wikiendi nitakuwa Hedaru
b0fe288f7249b3b556cbdd626aa2da42.jpg
 
Tatizo sio mishahara. Tatizo ni watumishi wengi wameshakopea mishahara yao hivyo kuishi maisha duni na hasira zao kumuelekezea mfalme. Kwani mfalme ndiye aliwaambia mchezee mishahara yenu kwa kukopa kopa hovyo? Wengine pesa mmekopa mkaenda kuhonga, wengine zikaishia kwenye biashara zisizo na mafanikio, wengine mmejengea nyumba zimeishia kwenye msingi. Kifupi 80% ya waliokopea mishahara yao, hawajajanufaika moja kwa moja na mikopo hiyo.
Fungeni mabakuli yenu mmalize kulipa madeni alafu muache kukopa kopa. Anayeona mshahara hauotoshi aache kazi akaliime au akauze genge!
 
Hao watu wakifa kwa magonjwa, njaa na umasikini kuna faida gani ya maendeleo?

Train za umeme, umeme wenyewe ni wa mgao, bombardier zinazokamatwa kwa madeni, juzi Dar nzima ulitaka kutibiwa kwenye melt ya wa-China.
Bas mama punguza jazba...
 
Back
Top Bottom