Chunguza tabia yako ili kuhakikisha kuwa unayo yafanya haya mkwazi na kumtisha rafiki yako wa karibu au jamii inayo kuzunguka. Unataka kujua kama na wewe unafanya makosa hayo? Hapa kuna ishara...
Wakuu kiukweli katika nchi hii kuna changamoto kali sana ya vyuma ( usiseme vyuma vimekaza ili kutii agizo la Mh rais ) , hali ya wafanyabiashara ya nguo na mapambo jijini DSM Imefeli kwa kiwango...
Kaka yangu alinunua mashine fulani ya thamani kiasi toka Amazon. Ni mzigo mkubwa ambao Amazon walikuwa hawasafirishi hadi Tanzania. Hivyo Aliamua autume kwenda UK na baadaye wafowadi kuja...
Hi the greatest thinkers kutoka pande zote East Africa na kwingineko duniani.
Kuna ndugu yangu Fulani ni mbishi yupo kijijini alifeli kidato cha NNE.Ana miaka minne mtaani kurudia hataki...
Wanawake wa Freemason wamekuwa wakikongamana kwa zaidi ya miaka 100 sasa - wakifanya matambiko na sherehe sawa na wenzao wa kiume.
Lakini si watu wengi wanaofahamu kuwepo kwa kundi hili. Sasa...
Wajameni leo ninalo langu.
TBC1 n kati ya television ambayo kwakweli sinaga hamu nayo kabisa kwenye vipindi vyao vyote. Na pia huwa siziamini habari zake zote ndo maana huwa siitizami.
Nikienda...
Hadithi ya kusisimua:
Jamii ya wanyama wanaoshirikiana waliaandaa hafla na walimuteua FISI kuwa Mwenyekiti wa kamati.
FISI alifurahi sana maana aliamini kila mnofu mzuri utaletwa kwake na aliweka...
Wakuu ninashida ya maelekezo Fulani juu ya Ajira za UN ninaomba mtu ambaye anafanya au anandugu ambaye yupo UN kikazi anisidie mawasiliano pm .
Asanteni.
Jamani tumekuwa tukishuhudia wakina dada wanaojiuza wakimatwa kwenye madanguro wao pamoja na wateja zao.
Lakini tukienda katika sheria inasemekana hakuna sheria ya kumfungulia mashitaka mwanamke...
Imekuwa mazoea sasa ikifika saa mbili usiku wakati wa taarifa ya habari ITV na STAR TV zinaondoshwa na zinakuwa hazipatikani kupitia Star times na hurudi muda mfupi baada ya habari kwisha.
Sasa...
Eti wajuzi wa mambo ya uvuvi.
To my knowledge ni kuwa zile nyavu za kuvua samaki wadogo wadogo maarufu kama makokoro zimepigwa marufuku.
Sasa hawa dagaa wanavuliwa kwa nyavu gani?
Na pia...
Habari
Friends naombeni msaada wa Lodge/hotel nzuri na iliyo kwenye mazingira tulivu na safi mkoani morogoro.Bei kati ya elfu 25 mpaka elfu 40 (25,000/= mpaka 40,000/=)
MREJESHO
Asanteni...
Watumishi wengi wanategemea sana Salary ,cha kushangaza wanataka hat ckk wapewe mshahara,nawaza Christmas ingekuwa 15@mwaka,ingekuwaje? Hazina hawana sikukuu, hivyo tuvumie tutapewa maana ni zetu...
Kwa wale waliopata fursa ya kuangalia utoaji zawadi baada ya mechi ya fainali ya CECAFA Senior Challenge Cup kati ya Kenya na Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikua Makamu wa Rais wa Kenya Bwana W...
Naomba kuchukua fursa hii kuiomba serikali yetu sikivu chini ya uongozi wa Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete, itukumbuke msimu huu wa kuelekea ktk sikukuu kubwa za xmass na mwaka mpya, kwa kutupatia...
Huu ndio ujumbe wangu wa kufungia mwaka huu wa 2017,kama unabisha endelea kumfanya mjinga mpumbavu au mwone kama mtu asiyejitambua mtu ambae anakusababishia wewe uwe hivyo ulivyo anakuweka mjini...
Habarini wakuu.
Vifurushi vya internet vinatumaliza sana,makampuni hayaeleweki, kuna kama vifurushi hewa, vifurushi vya uongo.
Halotel wakikwambia una 1.5 GB usiwaamini kabisa, halisi zinakuwa...