Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,687
- 19,444
Kwa wale waliopata fursa ya kuangalia utoaji zawadi baada ya mechi ya fainali ya CECAFA Senior Challenge Cup kati ya Kenya na Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikua Makamu wa Rais wa Kenya Bwana W. Ruto watakua walimuona jamaa mmoja mwenye umbo la wastan, rangi ya kung`aa alieanza kwa kusimama jukwaa la kutolea zawadi sambamba na wageni wa waalikwa akiwa mtu wa tatu upande wa kulia wa Ruto. Jamaa alikua akiwasalimia kwa uchangamfu na bashasha sana wachezaji wa Kenya walipokua wakipita kuchukua medali zao huku wengine akiwakumbatia kwa kuwarukia
Kumbe jamaa alikua ni katika team ya ulinzi wa makamu wa Rais na alikua akionekana katika positions tofauti karibu na alipokua Ruto na kwa ujanja wa hali ya juu pale ambapo watu walimkaribia sana kiongozi huyo alikua anachukua jukumu la kuwasogeza pembeni kwa staili ya aina yake kana kwamba alikua katika washangiliaji ama kiongozi tu wa soka wa Kenya! pia alikua mara kwa mara akiwasiliana na wale walinzi waliovaa suti za kawaida za walinzi wa viongozi ambao walikua mbali kidogo na jukwaa huku yeye akionekana kuwapa instructions mbalimbali na nadhani ndie alikua kiongozi wa team ya ulinzi(sina hakika maana sina taaluma hiyo). Na hata Ruto alipokua anaondoka uwanjani yeye ndie alimcover very closely na wakaondoka in a very stylish way!
Ninachotaka kusema ambacho kilinifurahisha ni kwamba ulinzi ule ulikua kama an art. Ni sanaa flani ambapo pamoja nakuhakikisha ulinzi kwa kiongozi wa nchi lakini kazi hiyo ilifanyika bila kutisha watu kwa kukunja sura, kuwabugudhi na kuwasukasuka na pia kama vile wanatoa burudani flani hivi ikiwa utawashtukia kama ni walinzi! You will like them. Bahati mbaya sina ujuzi wa kuweka video clip humu ningefanya hivyo, kama kuna mtu anaweza anisaidie pls. Na natamani kama ningekua naangalia walinzi wa viongozi wetu hapa nchini nao wakifanya hivo lakini najua inawezekana kila nchi na taratibu zake