steven13
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 352
- 195
Habari
Friends naombeni msaada wa Lodge/hotel nzuri na iliyo kwenye mazingira tulivu na safi mkoani morogoro.Bei kati ya elfu 25 mpaka elfu 40 (25,000/= mpaka 40,000/=)
MREJESHO
Asanteni sana wana JF nimefika lodge inaitwa SAGAMA maeneo ya msamvu kwa nyuma,kwakweli ni nzuri na bei ya EXECUTIVE room in elfu 40.Best rooms nimependa sana!
NB;msamvu kwa nyuma kuna lodge nzuri sana kazi kwako mteja tu