Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,629
- 218,059
Wakuu kiukweli katika nchi hii kuna changamoto kali sana ya vyuma ( usiseme vyuma vimekaza ili kutii agizo la Mh rais ) , hali ya wafanyabiashara ya nguo na mapambo jijini DSM Imefeli kwa kiwango cha kuvunja rekodi ya tangu enzi .
Kwa mujibu wa wafanyabiashara waliohojiwa na Channel 10 wamekiri kuvunjwa kwa rekodi ya ukata kwenye Xmass zote tangu waanze biashara .
Mbisha wengi ni mchawi .
Kwa mujibu wa wafanyabiashara waliohojiwa na Channel 10 wamekiri kuvunjwa kwa rekodi ya ukata kwenye Xmass zote tangu waanze biashara .
Mbisha wengi ni mchawi .