Mshahara wa december kwa watumishi wa umma

Manifesto

Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
13
Reaction score
2
Naomba kuchukua fursa hii kuiomba serikali yetu sikivu chini ya uongozi wa Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete, itukumbuke msimu huu wa kuelekea ktk sikukuu kubwa za xmass na mwaka mpya, kwa kutupatia mishahara mapema sisi watumishi wa umma ili angalau familia zetu ziweze kufurahia kwa angalau kubadilisha mboga siku za siku kuu.

Nawasilisha,

Wenu

Manifesto.
 
Labda sio serikali hii! Inaweza wahi but common sense inaniambia ni baada ya X mass!
 
hii wanatufanya tukose kujiamin
katika ngazi ya familia
 
Hapi kwa wenye maden
Daaaaaa itaishos huko
Hata haitatoa mchango ktk kuipamba xmac o new er
 
Wenzako tumeishajikubari, mshahara wa serikali ya ndg khalfan ni tarehe 39 ya mwezi.
 
Naomba kuchukua fursa hii kuiomba serikali yetu sikivu chini ya uongozi wa Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete, itukumbuke msimu huu wa kuelekea ktk sikukuu kubwa za xmass na mwaka mpya, kwa kutupatia mishahara mapema sisi watumishi wa umma ili angalau familia zetu ziweze kufurahia kwa angalau kubadilisha mboga siku za siku kuu.

Ombi hili nalileta kufuatia mwenendo wa hivi karibuni wa watumishi wa umma, hasa wa vyuo vikuu kupewa mishahara mpaka tarehe saba ya mwezi unaofuata, jambo hili ni baya sana na linaleta fedheha kubwa kwetu sisi watumishi. Visingizio vinavyokuwa vikitolewa ni kwamba, ati hazina wamechelewa kuleta cheque, mara sijui computer zinafanya nini. Hazina tafadhali tunaomba mtupunguzie hii adha kwa kufanya mambo mapema!.

Nawasilisha,

Wenu

Manifesto.
Umejiunga leo hii hii kwa ajili hiyo hiyo tu au una lingine?
 
mkuu huyu jamaa haitwi Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete, anaitwa Mh. Dr. Alhaj Jakaya Mrisho Kikwete, siku nyingine usisahau...
 
Njaa mbaya
Kweli kabisa mdogo wangu. Mshahara wa uliopita ulitoka tarehe 41, November. Leo ni tarehe 21/12, yaani hata siku kumi toka avute mkwanja wa mwezi wa 11 bado. kama siyo njaa ni nini?
 
Maisha yetu haya ya kutegemea mishahara ni mabaya sana na yanatufanya watumwa wakubwa....tufikirieni jinsi ya kuondokana na hili, pengine siku moja tutakuja kushinda tu
 
Kweli kabisa mdogo wangu. Mshahara wa uliopita ulitoka tarehe 41, November. Leo ni tarehe 21/12, yaani hata siku kumi toka avute mkwanja wa mwezi wa 11 bado. kama siyo njaa ni nini?

Mantiki nzima ya hii post yangu ni ukosefu wa hela ambao bila shaka ndo unachomaanisha unaposema "njaa". Kwa hiyo sioni kama unakosea unaposema nnanjaa, uko sahihi kabisa. La msingi ni kuwa ninachokiongea ni tatizo la watu wengi, na waajiriwa wenzangu wengi tu (Hasa hasa wale waajiriwa wa serikalini) wangetamani sana iwe hivyo iwe hivyo.

Halafu, kama mshahara wa mwezi uliopita ulitoka tarehe 41, umeshajiuliza kuanzia tarehe 30 mpaka tarehe 41 siku ambayo mshahara umetoka nilikuwa naishi vipi???.

Kwa kweli tuache masihara, swala hili ni la msingi, and it is impossing alot of stress on the part of government employees. Watu wanakwenda kazini wako restless, nyumbani hakueleweki, huku kazini unatakiwa kufanya kazi kwa ufanisi.
 
Kwa serikali hii hakuna kiongozi anayesikia kilio au anayejali shida ya wananchi. Unamkumbuka yule jamaa aliyetoa hii statement😛otelea mbali, hata kura zenu sizitaki. Jikomboe kwa kuanzisha kiitegauchumi mdongo wangu,hizi dhiki za mshahara utazisahau.
 
Naomba kuchukua fursa hii kuiomba serikali yetu sikivu chini ya uongozi wa Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete, itukumbuke msimu huu wa kuelekea ktk sikukuu kubwa za xmass na mwaka mpya, kwa kutupatia mishahara mapema sisi watumishi wa umma ili angalau familia zetu ziweze kufurahia kwa angalau kubadilisha mboga siku za siku kuu.

Ombi hili nalileta kufuatia mwenendo wa hivi karibuni wa watumishi wa umma, hasa wa vyuo vikuu kupewa mishahara mpaka tarehe saba ya mwezi unaofuata, jambo hili ni baya sana na linaleta fedheha kubwa kwetu sisi watumishi. Visingizio vinavyokuwa vikitolewa ni kwamba, ati hazina wamechelewa kuleta cheque, mara sijui computer zinafanya nini. Hazina tafadhali tunaomba mtupunguzie hii adha kwa kufanya mambo mapema!.

Nawasilisha,

Wenu

Manifesto.

Binafsi naona serikali isitoe pesa wakati huu wa sikukuu ya krismas kwa sababu siku ya sikukuu ya Idd haikutoa pesa,hivyo kuwafanya baadhi ya familia za kiislam kushindwa kuifurahiya sikukuu.Kwa sababu serikali haina dini iendelee na utaratibu wake ule ule wa kutoa mshahara kuanzia tar 28,hapo itakuwa imetenda haki vinginevyo waislam watatumia kama rejea ya manyanyaso na kubaguliwa na serikali yao ili hali wenzao wakitimiziwa mahitaji yao.
 
hii wanatufanya tukose kujiamin
katika ngazi ya familia

Masikini..! Huwezi kujiamini kweli wakati unawaza sikukuu itapitaje,watoto wanakutolea macho ukirudi nyumbani..wakati huo unawaza ka mshahara ni mpaka sikukuu ipite..lazima ujishtukie..
 
mkuu huyu jamaa haitwi Ndg. Jakaya Mrisho Kikwete, anaitwa Mh. Dr. Alhaj Jakaya Mrisho Kikwete, siku nyingine usisahau...

Hapana umekosea, anaitwa Ndg Alhaj DR DR DR DR DR Jakaya Mrisho Kikwete Khalfani, kijana wa Msoga...

Ole wenu wafanyakazi wa serikalini msipowanunulia watoto wenu nguo za Xmass, hawatawasamehe kamwe
 
Wakiingiza kabla ya xmass utaambiwa ni mfumo kristo,mbona hawaingizi kabla ya idi?tafakari chukua hatua.
 
Back
Top Bottom