Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WAdau naomba msaaa wajinsi ya kutambua mtu alipo kwakutumia namba yake ya simu maana nikimpigia hapatikani na ilifanyautapeli baada ya kukubaliana kunisaidia ku swap laini akaiswapu kwa mfumo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kujua zilipo ofisi za Redio Free Africa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mtu mmoja mkazi wa Kitongo cha Rose kata ya Magomeni wilayani Kilosa mkoani Morogoro aliyejulikana kwa Jina la Salum Omary (37) amefariki dunia papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha mchanga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Zaidi ya watoto 9000 wanakosa haki ya kupata elimu kutokana na wazazi wao kuishi katikati ya hifadhi za misitu wilayani Chunya ambako hakuna miundombinu ya aina yoyote husani inayoweza kuwapatia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka 1995 nilikuwa darasa la Sita shule ya Msingi Sunge, wilayani Kahama,Mimi Deogratius Kisandu nilikorofishana na Babu yangu mzaa mama Mzee Tundule a.k.a (Kipungo) ambako nilikuwa naishi...
10 Reactions
22 Replies
5K Views
Wanasayansi wanasema kwamba ziwa kubwa zaidi lenye maji tulivu barani Afrika Victoria linalounganisha nchi za Tanzania, Kenya na Uganda, lipo katika hatari kubwa ya kukauka. Wanasema kwamba uvuvi...
3 Reactions
28 Replies
7K Views
Jeshi la polisi kwa kushirikiana na asasi za kiraia kanda ya ziwa limezindua kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili, huku takwimu za ripoti ya utafiti wa vitendo hivyo kwa mwaka wa 2015/2016...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii forum Nawasalimu kwa jina la Mnyezi Mungu Muumba wetu. Naleta maada hii kwenu ili kuwaeleza maswahibu yanayoniandama moyoni mwangu ili kama kuna yeyote aliyepitia basi tupeane...
3 Reactions
78 Replies
9K Views
Kwa heshima na taadhima najiunga kwenye janvi lenu. Hope nafasi bado tele
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Kikosi cha doria na udhibiti wa uvuvi haramu katika mkoa wa Kagera kimeendesha operesheni ya kushtukiza ndani ya Ziwa Victoria iliyokuwa na lengo la kupambana na vitendo vya uvuvi haramu na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Laiti tungekuwa tunaishi milele hapa Duniani, Hata Mimi ningelazimisha kuwa Na madaraka Ashukuliwe Mungu muumba anayeweza kubadilisha majina ya walio hai wakaitwa Marehemu hatuna mji udumuo...
4 Reactions
6 Replies
825 Views
Licha ya Tanzania kuwa na mfumo wa Serikali za Mitaa, inaelezwa kuwa mifumo hiyo haifanyi kazi kwa uwazi jambo linalozuia umiliki wa wananchi juu ya matumizi na uendelezaji wa rasilimali zao...
0 Reactions
1 Replies
587 Views
Habari Zenu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Mimi ni kijana Mtanzania nimepata tatizo la kupotelewa na cheti cha kuzaliwa. Ninaomba msaada ushauri au namna ya kuweza...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Za saizi wakuu,mwenye kujua basi la abiria linalotoka morogoro kwenda arusha ,pia liwe high class.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema uchakavu wa Zahanati ya Kata ya Bujonde iliyopo Wilaya ya Kyela umetokana na uzembe wa halmashauri. Ummy...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi, Natafuta shule ya dogo aliyezaliwa mwaka 2000 ambaye ni mjeuri, aliacha shule hajui kusoma wala kuandika [emoji10], sasa kakumbuka shule. Mwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
==>Wapi madaraja kupandishwa? ==> Je, watumishi wamedanganywa tena? ==> Watumishi mnajisikiaje kutokupandishwa madaraja?
21 Reactions
249 Replies
31K Views
KWA UVCCM IMARA, MCHAGUE KHERI DENICE JAMES. Kwa muda mrefu utendaji kazi wa Jumuiya ya umoja wa vijana CCM (UVCCM) haijaweza ama kufanikiwa kugusa matarajio ya vijana wengi nchini hususani...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kuna waajiri huwa wanatoa sharti la kwamba muombaji alete nyaraka za mshahara aliokuwa anapokea kwa mwajiri wake wa mwisho. Binafsi hii kitu huwa inanishangaza. Mshahara wa mtu alikotoka mwajiri...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…