Wakuu..
Fans wa Arsenal msiwe mbogo na makamanda wenzangu msinizingue mwana w3nu; ila embu tiririka kujibu swali..
Binafsi mimi si mpenzi wa kilabu cha Arsenal washika bunduki (pyu pyu) ila ni...
Habari ya jumapili wakuu.
Sasa naanza kuamini kua Dr. Shika ni muongo na yote aliyoyasema hayana ukweli.
Hati yake ya kusafiria inaonyesha amezaliwa 31.12.1969, ni sawa na kusema amezaliwa...
-Tangu jana eneo la Mwananchi - Jiji la Mwanza hatuna huduma ya maji na MWAUWASA hawajatueleza kuwa kuna tatizo gani?. Nawashauri muwe kama wenzenu wa TANESCO ambapo kama tatizo lolote...
Habari za wakati huu!!
Jana ilikuwa ni Black Friday, na vitu vilikuwa vinauzwa kwa bei ya punguzo.
Nilipata mda wa kuperuzi kwenye Jumia online market, na bahati nzuri nikakuta kuna bidhaa...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa tatu kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori-Mweka, Brightone Mbilinyi kuhusu mafunzo ya...
Wataalamu wa afya wanadai kulia kwa kutoa machozi kuna faida kiafya kama kuondoa bakteria wa maambukizi machoni & kuondoa mkazo (stress), wasiwasi (anxiety) na huzuni. Kulia pia si udhaifu...
Mods mtanisaidia kuhamisha huu uzi kama hapa si mahala pake sahihi:
"Note: No one was seriously hurt in this clip."
This video is for educational purposes only as it demonstrates the real...
Wanajamii Forums heshima kwenu... Mwaka huu 2017 unaelekea ukingo, Tunamshukuru Mungu mpaka leo hii tupo salama, je kwa mwaka ujao una malengo gani umejiwekea yan kwa Mwaka 2018 Mungu akiendelea...
Wakuu, kama inavyojieleza hapo, BINAFSI, sijawahi kukutana au kuona msiba unasafirishwa kutoka mikoani, kupelekwa kuzika Dar es salaam. Je hii ni kwa sababu Dar wengi ni wahamiaji...?? Au sababu...
Wanabodi habari za Jumapili;
Niende moja kwa moja kwenye mada,mimi ni miongoni mwa waliobahatika kupata ajira katika kada hii ya afya kwa ajira zilizo tangazwa.Chuo nilicho soma tumebahatika...
Amani kwenu nyote hapa ubaoni
Huyu si kikwazo kikubwa zaidi kwa CUF kusonga mbele na kuimarika zaidi na kurudisha hadhi yake ya Chama kama zamani. Ila kwa anayoyafanya ndani ya Chama cha...
Habari.
Wadau tukutane hapa tuelekezane wapi mtu unaweza kupata elimu,ujuzi,ufundi au maelekezo ya kutosha kuhusiana na huduma inayohusiana na elimu au ujuzi ambayo mtu unaitafuta.
Mfano:
Mimi...
Niende moja kwa moja kwenye swali la msingi tumeambiwa tuko kwenye Tanzania ya viwanda mi naomba tu list au hata picha tu ya kiwanda kilicho kwenye hatua ya ujenzi au hata tu eneo lililofyekwa...
Kati ya Ofisi ya Basata, Wizara ya Michezo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ipi yenye uwezo wa kutoa katazo kwa wasanii, mfano kukatazo la Fiesta hadi asubuhi nani kati ya hao ambaye anatakiwa atoe katazo...
Jeshi la polisi mkoani Tanga limewatuhumu baadhi ya viongozi wa serikali waliopo katika kata ya Kigombe wilayani Muheza kuwa ni miongoni mwa watuhumiwa wanaosaidiana na baadhi ya wafanyabishara...
Nimeongia kwenye Tv Mpya hapa kwa jina JTV mara namuona JK akisakata rumba huku anakula popcorn!
Nimejiuliza ni tangazo la biashara au jamaa ana ubia na tv hii?
All in all jamaa yuko vizuri sana...