Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema uchakavu wa Zahanati ya Kata ya Bujonde iliyopo Wilaya ya Kyela umetokana na uzembe wa halmashauri. Ummy...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi, Natafuta shule ya dogo aliyezaliwa mwaka 2000 ambaye ni mjeuri, aliacha shule hajui kusoma wala kuandika [emoji10], sasa kakumbuka shule. Mwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
==>Wapi madaraja kupandishwa? ==> Je, watumishi wamedanganywa tena? ==> Watumishi mnajisikiaje kutokupandishwa madaraja?
21 Reactions
249 Replies
31K Views
KWA UVCCM IMARA, MCHAGUE KHERI DENICE JAMES. Kwa muda mrefu utendaji kazi wa Jumuiya ya umoja wa vijana CCM (UVCCM) haijaweza ama kufanikiwa kugusa matarajio ya vijana wengi nchini hususani...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kuna waajiri huwa wanatoa sharti la kwamba muombaji alete nyaraka za mshahara aliokuwa anapokea kwa mwajiri wake wa mwisho. Binafsi hii kitu huwa inanishangaza. Mshahara wa mtu alikotoka mwajiri...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Wananchi tunekosa chama cha kutuwakilisha sisi katika siasa za Tz.Hawa waliopo wanaojiita wapinzani wanalialia sana kila siku oo tumeonewa,tumeibiwa kura na mwisho wanasusa Susa hovyo natoa wito...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kabla ya uchaguzi wa Zitto alikaririwa akisema CCM imeandaa wapiga kura hewa takkribani 2000. Leo Zitto huyohuyo aliyedai CCM imeandaa wapiga kura 2000, anadai kuwa wapiga kura wameamua hivyo nao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za mida wana JF wenzangu? Naomba kama kuna Member hapa jamvini anayeishi katika nchi tajwa hapo juu,tuwasiliane kwa PM tafadhali, Kuna jambo namba kushirikiana nae japo hata kwa ushauri...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu heshima zenu! Mimi ninayeandika Haya naomba kudeclare interest kwamba pia ni Mtumishi wa Serikali yetu. Kinachonisikitisha, ni namna Watu mbalimbali wanavyotoa Kauli za Kuwadharau...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Maelezo ya habari hiyo ni kwamba Novemba 15, baada ya Mugabe kuwekwa kuzuizini na jeshi la nchi hiyo ndani ya makazi yake, alimwaga machozi kumkumbuka Sally na mtoto wao aliyeishi duniani miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mikoa niliyoitaja hapo imekuwa na matatizo sugu yanayohitaji kiongozi jasiri mwenye uzoefu kama vile RC Makonda. Matatizo yaliyoko katika mikoa hiyo ni pamoja KILIMO cha bangi, uvamizi wa hifadhi...
3 Reactions
107 Replies
9K Views
WATU milioni saba hufariki dunia kila mwaka kutokana na matumizi ya bidhaa zitokanazo na tumbaku hususan uvutaji sigara, imeelezwa. Takwimu hizo ni matokeo ya utafiti wa Shirika la Afya Duniani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika mradi wa Kawe' wa NHC' 711 ambao unajengwa na kampuni ya ESTIM" huyu raia wa kigeni kutoka India jina lake ni Bipin Vekariya' Huyu muhindi amekua akitoa aina ya maneno ya kashfa juu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
“Afya njema ni msingi mkubwa wa maendeleo katika taifa. Nchi ambayo wananchi wake hawana afya njema kamwe haiwezi kupata maendeleo, hii ni kwa sababu mwananchi asiye na afya njema hawezi kushiriki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati wafanyakazi wa Wakala wa Barabara (Tanraods) wakiendelea kuweka alama kwenye nyumba zinazotakiwa kubomolewa kupisha upanuzi wa Barabara ya Morogoro, wakazi wanaoishi kati ya Ubungo na...
3 Reactions
90 Replies
12K Views
Tukio hili liko mubashara ITV muda huu, ukuta umeshabomolewa na sasa anasubiriwa Waziri aje kutoa mazagazaga yake ili ofisi yake na Naibu wake zipigwe chini. Source ITV breaking news!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari JF Mimi ni mtumishi wa afya kama Lab scientist katika hospitali X ya mkoa Y. Hivi karibuni nimehitimu degree ya uzamili (masters) katika fani ya tafiti za afya yaani Clinical research...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau.. Magufuli anafanya mengi sana. Nimependa wazo la kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii, maana ilikuwa mingi bila sababu ma ceo wengi huku kazi ni zile zile... Kuna ujinga mwingine...
13 Reactions
44 Replies
5K Views
huyu mzee alikuwa ni mtaalamu sana wa kutafsiri mikanda yaan movie, kipindi hicho ukiwa umetumwa sehem au unapita karibu na kibanda ukasikia sauti ya mkandara akisema "KATIKA JIJI LILE KUU LA...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
samahani wakuu nina shida ya tv nimeona matangazo kupatana kuhusu jamaa flan wapo zanzibari naomba mawazo kwa mwenye uzoefu na kuagiza mizigo toka huko.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…