Kufungwa jela sio jambo zuri kwa vyovyote vile kwakuwa ukishafungwa gerezani kuna wanaofurahia kufungwa kwako na kuna wanahuzunishwa na kufungwa kwako vilevile. Kifungo kikishakuwa cha muda mrefu...
Wadau!
nataka tufanye utafiti mdogo, kujua ni callcentre ipi kati ya callcentre zilizochini ya makampuni yalioyo Tanzania inatoa huduma nzuri sana! kumbuka tuangalie kwa mwaka 2017 achana na...
Kusamehe si jambo rahisi pale inapotokea mtu umetendewa vibaya na mtu fulani. Ila kama huyo aliyetendewa vibaya ni mcha Mungu, hakika kusamehe ni jambo rahisi sana.
Nelson Mandela alifungwa jela...
Kwa kipindi hiki watumiaji wa Bima za Afya wamekuwa wakipokea moja kwa moja ujumbe kwenye simu zao za mkononi kutoka NHIF kuwajisha kuwa Kadi zao za bima zimetumika. Kwa kutaja Tarehe; siku; muda...
Salum Njwete maarufu Scorpion akiwa chini ya ulinzi.
Kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii wa filamu za...
Mume na mke wakazi wa kitongoji cha Kidogue wilayani Mkalama wamefariki dunia kwa madai ya kukatwa mapanga shingoni na kichwani na watu wasiojulikana.
Mauaji ya wanandoa hao, Kija Kitundu (53) na...
Wana bodi kama kichwa kinavyoeleza naomba mnisaidie kuhusu hawa Jamaa hivi sio matapeli hawa?
Maana juzi walikuja ofisini kwangu wakanishawishi kujiunga na huduma yao kweli nikashawishika na...
Kusema kweli,mimi ni mkazi mbuyuni nilianza taratibu za kutaka kupata huduma ya maji safi toka mwezi wa saba mwaka huu,jinsi walivyoslow wakaja kusurvey mwezi 9 majibu ya gharama yakatoka mwezi wa...
Kuna kamtindo kameanza siku hizi hasa msimu huu sikukuu zinavokaribia makondakta wa mabasi ya Arusha Dar wanakataa kupakia abiria wa Moshi. Na ikatokea ukipanda wana kauli chafu za kukera. Kuna...
Wana Jamvi hili ni wazo langu tu kuhusu nchi ya Congo hasa baada ya wanajeshi wetu wengi kuuawa kinyama na Waasi wa ADF na pengine wakishirikiana na makundi mengine. Akili ni nywele kila mtu ana...
yes,hatutaki vizazi vyetu vijavyo wapitie bomoa bomoa,
sio kurudia rudia na bomoa bomoa zenu,
fanyeni once and for all,
na nyie mnaojenga mafly over ,jengeni kwa uimara hatutaki maafa,
Na pia...
Wanasema kuishi na kuwa na pesa ni ujanja tu.
Hapa Tanzania wale waliosoma shule wakawa wanashika nafasi za kwanza na za pili darasani hupelekwa kusomea mambo ya engineer wakavumbua na...
Habarini
Kusamehe wafungwa wakati bado kuna utaratibu mbovu wa kuendesha mashauri yawe ya jinai au madai ni unafiki mtupu.
Raia wengi wanacheleweshewa haki zao za msingi pasipo...
Wana JF,
Pita Mlimani City kwenye milango ya kuingilia utakutana na mabinti wamevishuwa vigauni vifupi kupindukia kwa ajili ya kugawa fliers na kuitangaza tiGo
Kweli kazi hiyo inahitaji mabinti...
Umeibuka mvutano mkubwa wa kugombea fedha za matibabu ya majeruhi 43 wa bomu la kurushwa kwa mikono lililosababisha vifo vya wanafunzi watano katika shule ya msingi Kihinda baada ya uongozi wa...
Jeshi la polisi mkoani Mtwara limewakamata watu 2 kwa tuhuma ya kukutwa na noti bandia,zenye thamani ya jumla ya shilingi 770,000 eneo la Magomeni Migomigo katika manispaa ya Mtwara/Mikindani...
Wadau,
Taarifa tulizopata zinasema kuwa ni wanafunzi 20 pekee ndiyo wanaojua kusoma kati ya wanafunzi 164 wa shule ya msingi majengo iliyopo katika kijiji cha Mafisa Wilayani Handeni Mkoani...
Leo nimempeleka mke wangu hospitali moja ya wilaya ila nikashangaa baada ya daktari kumcheki cheki tatizo lake la jino na sikio na kuminya minya kooni na kumwambia akapima malaria ,uti,kiasi cha...