Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sarafu za shilingi 50, 100, na 200 zimeonekana kuwa nadra mikononi kwa sababu kuu mbili: · Kuhifadhiwa na Wananchi: Watu wamezichomekea nyumbani, kwenye vibubu au magari, kwa sababu ya thamani...
7 Reactions
28 Replies
638 Views
Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Anakuwa hajiamiini katika kila hatua zake dhidi yako, hata akiwa na nia njema juu yako anajihisi kama atakosea masharti unashangaa mtu anabadirika ghafla. Akikuona wikii hii umemchekea sana...
8 Reactions
59 Replies
519 Views
Ukiona watu waliokuzidi kimaisha, mafanikio au mamlaka wanakuchukia bila sababu jua una kitu kikubwa. Watu wengi waliobeba vitu vikubwa au ukuu ndani yao huo wanachukiwa inawezekana wakati huo...
7 Reactions
18 Replies
418 Views
Sio kwa ubaya lakini hii inayoitwa kazi ya kuendesha boda ni mojawapo ya kazi kama uhalifu tu, asilimia 90 ya hawa wapuuzi ni wezi, wanyanganyi au vibaka baadhi kweli ni wastaarabu ila wengi ni...
6 Reactions
20 Replies
355 Views
Mwanzo 32:26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki. Faida ya kuomba ya saa 9 usiku mpaka saa 11 Asubuhi. Muda wa saa 9 usiku mpaka saa 11 asubuhi ni...
2 Reactions
1 Replies
261 Views
Unapokaribia mlango wa baraka kufunguliwa vikwazo utokea kwa nini Danieli 10:13 Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu...
2 Reactions
0 Replies
243 Views
Kiranga Infropreneur
3 Reactions
11 Replies
264 Views
Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost): Gemini (Google) ChatGPT Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita. Vigezo...
3 Reactions
1 Replies
156 Views
Kwa nini mambo mabaya mengi huongezeka licha ya kukemewa ? Kuna mdau ameniuliza swali hili Pombe ni mbaya, kila siku tunaisema ila wanywaji wanaongezeka? Mauaji ni mabaya, kwa nini kila siku...
3 Reactions
9 Replies
131 Views
Naombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma. Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na...
8 Reactions
20 Replies
346 Views
Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi. Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Hamna kabla nyingine yenye warembo kama hawa;sio upole, heshima, upendo, unyekevu. Je, kuna anayebisha na anipe sababu?
9 Reactions
73 Replies
1K Views
Huwezi kuwa ni Shabiki wa Watu wenye Msimamo na Wanaojiamini duniani kama Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu, Rais wa Rwanda Kagame, Mahayati Mwalimu Nyerere na Magufuli na Tundu Antipas Lissu halafu...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Wakuu nipeni ratiba safari ya Mtwara mimi natokea Zanzibar nataka kwenda Mtwara naishia Mtama ninachotaka kujua bus la Mtwara napandia wapi pia nauli ya bus bei gani?
1 Reactions
2 Replies
232 Views
Dar es Salaam - Mei 4, 2026 Hati ya makubaliano ya mashirikiano ya kuwajengea uwezo watumishi wa umma wa Tanzania na Kenya imesainiwa kati ya Dkt. Ernest Francis Mabonesho, Mtendaji Mkuu na...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
SHIRIKA la Dawa Asili na Ulinzi wa Mazingira(TRAMEPRO) limesema linatambua na kuthamini mchango wao katika kukuza na kuendeleza sekta ya tiba asilia, ambayo imeendelea kuwa tegemeo muhimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo 1. Nakosa amani watu...
9 Reactions
61 Replies
1K Views
Jengo lililopo eneo la Stone Town, Zanzibar limeporomoka ghafla, huku mamlaka zikianza uchunguzi wa haraka kubaini chanzo cha tukio hilo. Chanzo: Mnana Online TV Pia soma ~ Jengo Maarufu...
1 Reactions
9 Replies
299 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…