Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewafukuza kazi walimu 28 baada ya kugundulika kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Sh100.4 milioni.
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Mjini Zanzibar...
Kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui basi fahamu ya kwamba siku hizi kuna aina mpya ya ' Ubatizaji ' wa majina kwa wale Watanzania ambao wanaonekana au wanajulikana Kuipinga Serikali na wale ambao...
Kuna tabia ambayo sana sana hufanywa na kina dada ya kuazima watoto wadogo na kuwatumia Kwa ajili ya kuomba misaada. Mara nyingi hujifanya wamezalishwa na wametelekezwa.
Wiki hii kuna mama...
Naomba kuhabarishwa kwa wenye uelewa juu ya masuala ya kiimani
iwapo utaota unapigana na wachawi kisha ukafanikiwa kuwapiga na kukimbia ,halafu unasituka toka ndotoni.
Hii ina maana gani???
Moshi: Chama cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU) kimetangaza kuuza shamba lake ili kuinusuru Benki ya Ushirika ya Kilimanjaro (KCBL) baada ya Benki Kuu (BoT) kuitaka itimize sharti la kisheria la...
Baada ya serikali chini ya wizara ya Mazingira kupiga marufuku uuzwaji na utengenezaji wa pombe Zenye vifungashio vya plastic (Viroba)
Sasa kanda ya ziwa Mwanza wamekuja na kinywaji kinaitwa...
Wan Jf Salaam.
Mimi nina mpango wa Kwenda nchini New Zealand ndani ya mwaka huu ila tatizo langu ni jinsi ya kupata VISA ya kuingia huko ukizingatia kuwa katika nchi hizi za East africa hatuna...
Jeshi la polisi mkoani Tabora linamsaka kwa udi na uvumba mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Michael Mabula,aliyetoroka baada ya kupiga kwa mchi wa kutwangia mtoto aliyekuwa amebebwa na mama...
Morogoro. Mgogoro wa kugombea mradi wa maji kati ya wananchi wa kijiji cha Fulwe na Bamba wilayani Morogoro umeingia katika sura mpya baada ya baadhi ya wananchi wa Bamba kuingia kwenye chanzo cha...
Mtoto mdogo amekamatwa na polisi akiwa chini ya basi la Sante Rabi lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Arusha lilipofika kituo cha mkoa wa Shinyanga.
Askari wa ukaguzi wa magari kama kawaida yao...
Niliamua kuhama kutoka kingamuzi flani hivi ambacho pakiwepo mawingu kinaanza ku scratch na mnvua ikinyesha maji huenda yakaingia kwenye lmb (kile kidude kidogo juu ya dish) kinakataa kufana kazi...
Leo wakati napata chakula cha mchana katika mgahawa fulani hapa jijini alikuja kijana mmoja kukaa katika meza niliyokuwepo baada ya kuniuliza na mimi kumwambia anaweza kukaa tu maana hakuna mtu...
Kwa watumiaji wenzangu wa Azam Tv, mimi daima nalipa kifurushi cha Azam pure ambacho kwa sasa ni Tsh 18,000/=.
Sasa mwezi uliopita nikaona nijikakamue nilipe kile cha juu cha Tsh. 28,000/=...
Habari wanaJF,
Familia ya Mstaafu wa Shirika la TAZAMA Pipeline, Samwel Nyakirang’ani, Mkewe Nyangi Mataro na wenzao watano wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kutoboa...
Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua...
Yaani kuna watu wengine sijui wapo vipi kwenye hii dunia, ni hivi wakuu kuna jirani yangu anaduka na nyumba zimepangana kwahiyo mara nyingi ninapokuwa na mahitaji yangu huwa naenda kwake hapo...
Wakati serikali ikijaribu kuuinua mfuko wa NHIF ; Kwa kulazimisha mashirika Makubwa na Makampuni Makubwa ya Serikali kujiunga NHIF ili kuendena na sheria ya kuanzisha mfuko huo mwaka jana mwezi...
Salama JF,
Ninaandika uzi huu nikiwa na masikitiko kwa ndugu zetu waliokosa maarifa na kuzidi kuangamizwa na haya mashetani.
Watumishi hawa wamekuwa matapeli kiasi cha kusababisha umaskini kwa...
IDADI kubwa ya watoto wachanga waliozaliwa kabla ya muda (njiti) wanahofiwa kufariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kukosa hewa ya oksijeni.
Hewa hiyo ilikuwa...