Nitakuja usiku nimeonaMshana junior nakuita haraka
Saivi ni mchana mkuu??Nitakuja usiku nimeona
kwani muda huu huko kwenu jua linawaka!!!Nitakuja usiku nimeona
Naomba kuhabarishwa kwa wenye uelewa juu ya masuala ya kiimani
iwapo utaota unapigana na wachawi kisha ukafanikiwa kuwapiga na kukimbia ,halafu unasituka toka ndotoni.
Hii ina maana gani???
Mshana junior nakuita haraka
Saivi ni mchana mkuu??
Kwanza lazima kufahamu kwamba vita ya kiroho dhidi ya ulimwengu na vita ya kiroho dhidi ya nguvu za giza... Ulimwengu wa roho ndio huibuka mshindi daima.. Lakini linapokuja suala la ndoto kuna mengi hujumuishwa ndani yake na kwakweli ulimwengu wa ndoto una tafsiri pana sana kwakuwa ndoto zenyewe zimegawanyika kwenye makundi mengikwani muda huu huko kwenu jua linawaka!!!
nakisubiri ujuwe!!!