Mafundi wa DSTV muwe wakweli

Mafundi wa DSTV muwe wakweli

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Niliamua kuhama kutoka kingamuzi flani hivi ambacho pakiwepo mawingu kinaanza ku scratch na mnvua ikinyesha maji huenda yakaingia kwenye lmb (kile kidude kidogo juu ya dish) kinakataa kufana kazi inabidi fundi aje afunge kingine.

Mimi na rafiki yangu tuliamua kuhamia DSTV kumbe kuna offer, mwaka jana baada ya kununua dish jamaa akaomba tumpe hela ya kufunga na hela ya kulipia mwezi wa kwanza, tukalipia kumbe bhana mwezi wa kwanza unaoanza kutumia hutakiwi kulipia ni bure. leo hii nimeenda kununua dish niwafungie wazazi wangu DSTV ndio nimeambiwa silipii ahah nimechoka kweli. tumeliwa kabisa
 
Pole, cha mtu huliwa na mtu, chuma huliwa na kutu...
Pole sana ndio maisha ya mafundi wengiwao!!
 
Back
Top Bottom